Bosco Ntaganda JF-Expert Member Jan 25, 2012 710 288 Oct 26, 2012 #1 Wandugu mwenye taarifa positive za vyumba vya kupanga, iwe ni self ama kawaida, pamoja na bei zake, maeneo ya magomeni ama sinza tafadhari tuwasiliane haraka.
Wandugu mwenye taarifa positive za vyumba vya kupanga, iwe ni self ama kawaida, pamoja na bei zake, maeneo ya magomeni ama sinza tafadhari tuwasiliane haraka.
Bosco Ntaganda JF-Expert Member Jan 25, 2012 710 288 Oct 28, 2012 Thread starter #2 Madalali wa maeneo tajwa mko wapi? Nahitaji sana vyumba katika maeneo hayo kwa ajili ya vijana wangu jamani. Naombeni ushirikiano wenu wandugu
Madalali wa maeneo tajwa mko wapi? Nahitaji sana vyumba katika maeneo hayo kwa ajili ya vijana wangu jamani. Naombeni ushirikiano wenu wandugu
Bosco Ntaganda JF-Expert Member Jan 25, 2012 710 288 Oct 29, 2012 Thread starter #5 mseseve said: vipo sinza call me 0714812375 Click to expand... Weka bei mkuu, nataka kutuma vijana, ili wasinichakachue
mseseve said: vipo sinza call me 0714812375 Click to expand... Weka bei mkuu, nataka kutuma vijana, ili wasinichakachue
Bosco Ntaganda JF-Expert Member Jan 25, 2012 710 288 Oct 29, 2012 Thread starter #6 mysteryman said: Mcheki huyu 0715457263 Click to expand... Muambie ataje bei basi, na mahala hivyo vyumba vilipo
mysteryman said: Mcheki huyu 0715457263 Click to expand... Muambie ataje bei basi, na mahala hivyo vyumba vilipo
A Akiri JF-Expert Member Sep 21, 2010 1,445 212 Oct 29, 2012 #7 kuna chumba master na sitting room, jiko na store na public toilet, ipo kijitonyama 180,000 miezi 6 mi ni dalali 0657 145555
kuna chumba master na sitting room, jiko na store na public toilet, ipo kijitonyama 180,000 miezi 6 mi ni dalali 0657 145555
Bosco Ntaganda JF-Expert Member Jan 25, 2012 710 288 Oct 30, 2012 Thread starter #8 Akiri said: kuna chumba master na sitting room, jiko na store na public toilet, ipo kijitonyama 180,000 miezi 6 mi ni dalali 0657 145555 Click to expand... Shukrani mkuu
Akiri said: kuna chumba master na sitting room, jiko na store na public toilet, ipo kijitonyama 180,000 miezi 6 mi ni dalali 0657 145555 Click to expand... Shukrani mkuu
Pelham 1 JF-Expert Member Feb 29, 2012 548 99 Oct 30, 2012 #9 Akiri said: kuna chumba master na sitting room, jiko na store na public toilet, ipo kijitonyama 180,000 miezi 6 mi ni dalali 0657 145555 Click to expand... Kijitonyama kubwa!! Sehemu gani K/nyama???
Akiri said: kuna chumba master na sitting room, jiko na store na public toilet, ipo kijitonyama 180,000 miezi 6 mi ni dalali 0657 145555 Click to expand... Kijitonyama kubwa!! Sehemu gani K/nyama???
A Akiri JF-Expert Member Sep 21, 2010 1,445 212 Oct 30, 2012 #10 Pelham 1 said: Kijitonyama kubwa!! Sehemu gani K/nyama??? Click to expand... karibu na collubus hotel
Pelham 1 said: Kijitonyama kubwa!! Sehemu gani K/nyama??? Click to expand... karibu na collubus hotel