Weka wazi eneo ualotaka kupanga mkuu, kama ni kwa mtogole poa tu au?
me nina laki 1 na 30 kwa mwezi, nahitaji chumba(self) na sebule mitaa ya kurasini, nahitaji kwa haraka sana mwezi huu.. kama kuna uwezekano niPM
daaah me nafanya kazi posta mitaa ya NBC ni mitaa gani itafaa kukaa kwa location ya ofisi yangu? niko serious