Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 847
Hahaha Nina kapaso tuUna bonge la gari unaishi nyumba ya kupanga!!!!. Samahani mkuu, hapa Nilikuwa najaribu kukumbuka maneno ya Nay wamitego.
Mm siwajui, Ila nasikia Munyu ni madalali wanaopatikana moro, wao husaidia watu kupata makazi na viwanja. Jaribu kutafuta mawasiliano yao, madalali wanasaidia ila wanaboa kwenye gharama zao tu
Hujawaza anaweza kuwa amehamishiwa mkoa huo kikazi!?? Maaan nyumba haihami, pia pesa ya gari ni ndogo sana dogo, ml 15 unaweza pata gari ila sio nyumbaUna bonge la gari unaishi nyumba ya kupanga!!!!. Samahani mkuu, hapa Nilikuwa najaribu kukumbuka maneno ya Nay wamitego.
Mm siwajui, Ila nasikia Munyu ni madalali wanaopatikana moro, wao husaidia watu kupata makazi na viwanja. Jaribu kutafuta mawasiliano yao, madalali wanasaidia ila wanaboa kwenye gharama zao tu
Hahahaa! Sawa buana. Haya yote niliyajua ila nikaamua kuyalalia kwanza. Tupo pamoja, mbona hata siye tumejenga mahali pengine na tumepangisha na vilevile tumepanga huku tulipo kwasasaHujawaza anaweza kuwa amehamishiwa mkoa huo kikazi!?? Maaan nyumba haihami, pia pesa ya gari ni ndogo sana dogo, ml 15 unaweza pata gari ila sio nyumba
Hakohako kanakutosha, chamsingi kama kanatimiza haja zako kwa kipindi hiki.....hahahaha!
Unataka maeneo gani? Mazimbu, Kihonda au Falkland? Chagua eneo mkuu utapata bila wasix2Sifa:single self, maji na umeme,kuwe na car parking
Wadau kwa yeyote anaefahamu room Uliona anijuze
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Mkuu popote ambapo maji si tatizoUnataka maeneo gani? Mazimbu, Kihonda au Falkland? Chagua eneo mkuu utapata bila wasix2
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli mkuuHakohako kanakutosha, chamsingi kama kanatimiza haja zako kwa kipindi hiki.....hahahaha!
Vipi umepata chumba?
Hujawaza anaweza kuwa amehamishiwa mkoa huo kikazi!?? Maaan nyumba haihami, pia pesa ya gari ni ndogo sana dogo, ml 15 unaweza pata gari ila sio nyumba
Nanenane siku hizi maji yapo?Nane nane unakaa??