House4Rent Chumba cha kupanga - Kimara

House4Rent Chumba cha kupanga - Kimara

Raimundo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2009
Posts
13,415
Reaction score
12,622
Wadau;

Chumba cha kupanga kinatafutwa, maeneo ya Ubungo mpaka Kimara Mwisho

1. Chumba Kiwe Na Umeme Na Maji
2. Kisiwe Mbali Na Barabara
3. Kikipatikana chenye choo ndani au choo cha kujitegemea ni sawa
4. Bei isiwe ya kutisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom