Chumba cha kupanga Kibaha.

Chumba cha kupanga Kibaha.

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Nitaka kuhamia maeneo ya Kibaha mjini hadi kwa Mathias...
Nahitaji kupanga chumba na sebure maeneo hayo na sifa za chumba kiwe na choo chake na ikibidi wapangaji wasizidi watatu..
Je maeneo hayo ntapata kwa shilingi ngapi vyumba vya ina hiyo?
Bajeti yangu ni 60-70 kwa mwezi....
 
Yaani hyo chumba na sebure iwe na choo yake inajitegemea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom