Chumba cha kupanga Dodoma

Chumba cha kupanga Dodoma

messi1991

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
19
Reaction score
2
Natafuta chumba cha kupanga hapa mjini dodoma kiwe kimekaa maeneo mazur sana na kisiwe maeneo ya changombe au mail mbili lakin maeneo mazur napenda iwe area c,makole,,,airport area d na maeneo mengne mazur maana me ni mfanyakazi kama kuna mtu anajua ani pm au accoment chin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom