Chumba Cha kupanga dar elf30/40 kwa dar

Chumba Cha kupanga dar elf30/40 kwa dar

ween

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
414
Reaction score
129
Habari natafuta chumba cha kupanga bei kama ilivyoelekezwa hapo kiwe na umeme maji ya karibu pia, maeneo iwe Dsm si nje sana ya mji na pia kiwe karibu na kituo cha daladala au barara isiwe uchochoroni, chumba cha kujitegemea nitakipa priority kubwa msaada wenu tafadhali
 
Habari Natafta chumba Cha kupanga Bei Kama ilivyoelekezwa hapo kiwe na umeme maji y'a karb pia, Marne iwe Dsm si nje sana ya mji n'a pia kiwe karb Na kituo cha daladala au barara isiwe uchochoroni, chmba Cha kujitegemea nitakipa priority kubwa .msaada wenu tafadhali
Njoo gongolamboto nahama nasepa kesho kutwa,self maji na umeme,nyumba ni executive being 50 per month. 0713715772
 
Kama Goba psnakufas Njoo kwangu hakuna dalali mwenye nyumba ni mimi mwenyewe kiko ndani ya uzio kina tiles na sealing board.
 
Chumba kipo kigambon bei 35 ila chumba cha kawaidah sio kikubwa maji yapo ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom