Cascos New Member Joined Oct 13, 2012 Posts 0 Reaction score 198 Mar 8, 2017 #1 Habarini wana jamvi, Chumba cha biashara kinapangishwa Dodoma. Kipo maeneo ya airport mkabala na Chako ni Chako, mlango wake unatazama uwanja wa ndege. Pia kuna kibanda (removable) kinachohamishika kipo maeneo ya Kilimani (chinyoya) karibu ukumbi wa Kilimani, Uzunguni Dodoma nacho kinapangishwa!! Kwa mwenye uhitaji anicheck DM au piga simu namba 0688 688 860
Habarini wana jamvi, Chumba cha biashara kinapangishwa Dodoma. Kipo maeneo ya airport mkabala na Chako ni Chako, mlango wake unatazama uwanja wa ndege. Pia kuna kibanda (removable) kinachohamishika kipo maeneo ya Kilimani (chinyoya) karibu ukumbi wa Kilimani, Uzunguni Dodoma nacho kinapangishwa!! Kwa mwenye uhitaji anicheck DM au piga simu namba 0688 688 860
youngkato JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,698 Reaction score 3,741 Mar 8, 2017 #2 Kodi bei gani
Alure JF-Expert Member Joined Dec 27, 2014 Posts 1,100 Reaction score 1,055 Mar 8, 2017 #3 Weka hadharani boss hata mm naweza kuhitaji,pia ungetupia na picha kidogo ingekuwa safi zaidi coz nilikuwa natafuta frem maeneo hayo
Weka hadharani boss hata mm naweza kuhitaji,pia ungetupia na picha kidogo ingekuwa safi zaidi coz nilikuwa natafuta frem maeneo hayo
xav bero JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 5,132 Reaction score 7,360 Mar 8, 2017 #4 Ungetangaza huko huko inbox usingekuja hapa,,,,unatuletea biashara halaf bei unatuambia inbox,,,utapeli utawapeleka pabaya nyie
Ungetangaza huko huko inbox usingekuja hapa,,,,unatuletea biashara halaf bei unatuambia inbox,,,utapeli utawapeleka pabaya nyie
W wanan Senior Member Joined May 11, 2011 Posts 141 Reaction score 44 Mar 30, 2017 #5 Na banda unakodisha bei gan Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app