Tushazoea uku unaweza enda choo unakutana na nyoka na ni choo cha ndani kabla ya kulala unakagua mashuka vizuri ndio unalala na unalala na taa inawaka maana wanapo pitia ujui unaziba hapa kesho unaona anapitia pale na umeme wanakatakta usiku ukiacha mlango wazi imekula kwako