Chukua tahadhari

Chukua tahadhari

Showio

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2019
Posts
254
Reaction score
482
Amna kazi Raisi Hapa Duniani hata kama ungeambiwa kazi yako ni kukaa tu kuna siku utachoka utatamani usimame ila ndo hutakiwi.

Manurse na madoctor wamekutana na challenge nyingi na wamezizoea ila hii ni challenge kubwa yao na wote tunaona jinsi wanavyopambania maisha yetu japo yao yapo hatarini.

Ukifika wakati unatakiwa usizarau wala usidis maana ww sio wao hujui wanapitia mangap, wanakosa usingiz mara ngap, wanachoka kiasi gani ila wanatimiza kiapo cha kulinda Afya zetu basi tusiwaongezee mzigo bali tuwatue mzigo.

Tufate maelekezo ya Madaktari na wataalamu wa afya juu ya kujilinda na corona(covid 19) pia na magonjwa mengine.

#jilinde Na Mlinde Mwenzio.
#Mkumbushe Mwenzio Anapojisahau
#Tusizarau Bali TuweMakini.
 
Back
Top Bottom