WISE 2012
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 634
- 460
Kuna siku marafiki tutatengana hatutaonana tena wala kuwasiliana.💌
Wengine umri utakuwa umeenda🕢 sana wamekuwa wazee na wengine hawatakuwepo duniani.
Tutakumbuka tulivyokuwa tunachat💌 tutakumbuka tulivyokuwa tunapendana na kushirikiana tutakumbuka tulivyokuwa vijana wenye nguvu tukikimbizana huku na kule lkn hatutaweza kuwa pmj tena.
Labda bado tutakuwa na picha 👤za marafik zetu tutaziangalia na kukumbuka mengi.💬
Watoto na wajukuu zetu watatuuliza
"Ni kina nani hawa👭?"
Kwa maskitiko tutawaambia "Ni wapendwa wetu tulioshirikiana na kupendana nao" 
Huzuni zitatufunika maana hakutakuwa na njia ya kuonana tena zaidi ya kukumbuka enzi zetu!
Huu ni wakati wa kufurahi na marafiki    👭 na kutendeana mema ili tusije kujuta baadae.
Huu ni wakati wa kupendana na kila aliye karibu na wewe.
Onyesha upendo  na moyo wa furaha kwa kila unaechat nae kwa sasa.💞
Tunza kumbukumbu za yale mazuri unayotendewa na marafiki zako
Tunza picha zake kwa bidii👥👤
Kama unakubaliana na mimi wakumbushe marafiki zako wote kuwa upendo ni kitu cha thamani sana!!
Mkumbushe kila unayechati naye kuwa hataendelea kuchat na wewe milele hivyo autumie huu wakati  vizur. 
Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema 💕💞