Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,327
- 4,575
Manzoki yupi mkuu nilidhani utasema okra magicAmen.
Una hoja nzuri sana kaka.
Kama sio phiri atakuwa MANZOKI.
Kwa kipindi chote simba ilipotoa mfungaji bora iliishia kutwaa na kombe la ligi.Tatizo letu kubwa ni uchawi, kuhonga na chuki zisizo na maana yoyote katika maendeleo ya soka. Lakini kwa kusema ukweli Yanga, Simba, Azam na timu nyingi za NBC Premier League zina wachezaji wazuri.
Ufungaji bora hauifanyi timu kuwa bingwa ikiwa mna kipa na mabeki wasiyo wazuri.
MMMP (MOSSES MFUNGA MAGOLI PHIRI aka jeneraliMoses Magoli Phiri 'jenerali'
Ni kweli, kwa kuwa alikuwa na walinzi wazuri, lakini ikiwa mfungaji anafunga na huko nyuma mabeki na kipa wanaruhusu magoli yaingie inakuwa hakuna maana, mfano Geita gold walitoa mfungaji bora last season lakini waliruhusu kufungwa pia ndiyo maana hawakuweza kutwaa ubingwa hata kama walikuwa na mfungaji bora. Na kitu kingine ikiwa timu ina mfungaji zaidi ya mmoja usitegemee pakatokea na mfungaji bora wa ligi katika timu hiyo.Kwa kipindi chote simba ilipotoa mfungaji bora iliishia kutwaa na kombe la ligi.
Mara ya Mwisho Bocco kuwa mfungaji bora unaweza kukumbuka idadi ya magoli ya Kagere na Mugalu?Ni kweli, kwa kuwa alikuwa na walinzi wazuri, lakini ikiwa mfungaji anafunga na huko nyuma mabeki na kipa wanaruhusu magoli yaingie inakuwa hakuna maana, mfano Geita gold walitoa mfungaji bora last season lakini waliruhusu kufungwa pia ndiyo maana hawakuweza kutwaa ubingwa hata kama walikuwa na mfungaji bora. Na kitu kingine ikiwa timu ina mfungaji zaidi ya mmoja usitegemee pakatokea na mfungaji bora wa ligi katika timu hiyo.