Chukua Hatua na Computer Yako

Chukua Hatua na Computer Yako

King Shaat

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
863
Reaction score
835
Mara nyingi tumekuwa tukitumia hizi kompyuta zetu bila kuzingatia baadhi ya mambo ambayo ni ya muhimu sana. Ishu za kuchukulia hatua ni kama zifuatazo;-

i) Kwa wale watumiaji wa Windows XP na Windows 8.1 (kama huku'uinstall Update 1), mfahamu kuwa Microsoft wameacha ku'support hizi operating system mbili kwa maana ya kutoa Security Updates kila baada ya mwezi kama ilivyo kawaida. Windows XP walikata support tangu April 8 mwaka huu na Windows 8.1 tangu juzi tarehe 13 May.
Bila Security Updates kama kawaida, kompyuta yako itabaki ikitegemea sana Anti-virus program peke yake hivyo kuna baadhi ya ulinzi wa muhimu itakuwa inakosa na kuhatarisha usalama wa mafaili yako katika compyuta na hata usalama wa IDs zako za mtandaoni.
Hivyo basi, hakikisha kuwa una Windows ambayo iko updated kila wakati. Na hii ni rahisi…Nenda kwenye Control Panel>System and Security>Windows Updates> Hapo utaweza kuangalia kama kuna updates za muhimu ili kuzi'download na kuzi'install.

ii). Ili kuhakikisha maisha marefu kwa betri ya kompyuta yako zingatia haya;-
- Si lazima utumie umeme wakati betri iko full. Mara nyingi betri unakuta ziko full lakini bado mtu ana'plug in umeme. Kwa namna hii betri itapoteza nguvu mapema.
- Chaji full charge mara moja kwa mwezi. Kama betri yako ni nzima kabisa au bado mpya, basi unaweza kutumia kompyuta yako bila umeme wa soketi mpaka betri ikifikia 49% ndo uichaji. Hii itasaidia betri kuwa na maisha marefu.
-Kama unatumia kompyuta yako kwa matumizi yatakayotumia muda mrefu au kucheza gemu, basi ondoa kabisa betri na utumie tu umeme wa moja kwa moja.

Tupeane maujanja bandugu!.
 
asante mkuu
 
thankx, kwa taarifa yako muhimu sana. 2taifanyikazi. kama unalingine la ziada au zaidi ya haya usisite kutujuza ili nasi tufahamu yale hatuyajui kuhusu TEHAMA.
 
acha kudanganya watu ni windows xp tu ndio imesitishwa ila bado inatumika kwenye ATM na windows 8 yenyewe haina tatizo haijasitishwa
 
Hii ni taarifa nzuri ila namwomba C6 aihamishie Tech, Science and Gadgets. Thanks mleta mada.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, Windows 8 kama 8 yenyewe haina tatizo. Kama ukisoma vizuri utagundua kuwa 8 nnayoiongelea hapa ni hii mpya ya 8.1. Na si tu hivi hivi, kama uli'install Update 1 (ambayo ndo ilitoka tarehe 8/4/14. Hiyo ndo ilikuwa update ya muhimu sana kwa mtu ambaye alikuwa ameshaanza tumia Windows 8.1 kwani bila kuwa na hii Update 1, mpaka kufikia May 13 usingeweza pata tena Security Updates kutoka Microsoft.) basi hauna haja ya kuwa na hofu.
Na kama ukiwa mchunguzi zaidi utakubaliana na mimi kuwa kuna tofauti sana kati ya Windows 8.1 na Windows 8.1 yenye Update 1.
Kwa taarifa zaidi unaweza kwenda moja kwa moja kwenye tovuti ya Microsoft High Vampire

Be Good!
 
Last edited by a moderator:
Na majuzi kwa hii 8.1 update 1 wametoa tena update nyingine ambayo ni ya mambo ya security na fix ya vitu vidogovidogo km wale watumiaji wa wireless mouse ilikuwa inajidisconect now fixed,IDM ilikuwa haikubali kwa browser ya google chrome now fixed na hizi touch screen imeongezwa option ya smart pad
 
Ila kusema kweli Microsoft hawajawatendea fair wateja wake. Sasa mkuu embu jaribu kufikiria atajisikia vipi mtu ambae anataka ku'install hii 8.1 au kaisha'install labda late (from 13 May onwards) afu akagundua kuwa kuna vitu havina ambavyo Updated 8.1 inavyo?!. Na hii ndo OS yao iliyokaa muda mfupi kuliko yote kabla hawajaikatia support!.

Be Good!
 
Back
Top Bottom