Me na ke ktk stage za mwanzo wakiwa tumboni wanakua na stage sawa za ukuaji.. Na ubadilika pale sex zinapoanza tokea, hivyo kwa mwanamke zitaendelea kukua ila kwa mwanaume zita acha kukua.
Ni one of the vestigeal organs mwilini mwako. Lakini nakusihi fanya ulichoambiwa hapo #6 au hata ww mwenyewe jaribu kuzipapasa halafu utuletee mrejesho hapa.
We jamaa utakuwa ulijaribu kunyonyeshea paka ndio ukagundua hazina kazi
Sasa njoo huku Bunju kwenye hekalu langu ulale japo usiku mmoja nikushikeshike halafu ulete mrejesho
We jamaa utakuwa ulijaribu kunyonyeshea paka ndio ukagundua hazina kazi
Sasa njoo huku Bunju kwenye hekalu langu ulsle japo usiku mmoja nikushikeshike halafu ulete mrejesho
Nilikuwa nimesimama kwenye kioo nikajiangalia chuchu nikaona kama zimekaa bila ya faida yoyote ile ya mana ndio mana nikahoji zina faida gani labda kuna faida yake mimi sijui
Me na ke ktk stage za mwanzo wakiwa tumboni wanakua na stage sawa za ukuaji.. Na ubadilika pale sex zinapoanza tokea, hivyo kwa mwanamke zitaendelea kukua ila kwa mwanaume zita acha kukua.