Gari ya kawaida sana hiyo mkuu, sema ukiwa na kijipetrol station karibu inapendeza zaidi maana engine yake ni 3L! Sijajua huyu mkuu anauza ni ya mwaka gani lakini bei yake juu sana, kama ya mpya!
Mkuu upo deep sana kwenye masuala ya magari na issue zingine zinazohitaji very fine details. Ebu tupe specification zake in deeply, sina uwezo wa kulinunua lakini kulifahamu pia sio vibaya
siyo sana mkuu, kiasi tu.
ngoja tumwite fatu2010 alete details. Chrysler 300 ni gari ya kawaida tu mkuu hata wewe ukijikakamua unalivuta tu, used around 25m.
Mkuu, yani kama Harrier lakini harrier ipo chini tena??Bei yake kumbe kama Harrier tu, sema harrier bei yake ipo chini kidogo
Mkuu nilimaanisha bei za hayo magari hazitofautiani sana ingawa kwa siku hizi harrier bei imepungua kidogo tofauti na wakati zinaingiaMkuu, yani kama Harrier lakini harrier ipo chini tena??
Hahahahaha....umenifurahisha.
Nimekuelewa mkuu.Mkuu nilimaanisha bei za hayo magari hazitofautiani sana ingawa kwa siku hizi harrier bei imepungua kidogo tofauti na wakati zinaingia