zipo nyingi ukizitaka cheki online sababu watu wengi huwa hawazipendi, pia si nzuri kiofisi unless munafanya mambo madogo tu, ukianza kushusha mambo ya excel na magraph haziwezi fanya sababu hazina microsoft office, google docs ipo limited sana.
chromebook | Kupatana