Chris Brown ndani ya penzi la moto moto na Jenifer Lopez moyoni

Naona huu ugonjwa wa Diamondplatnumz unasambaa kwa kasi sana,yani sasa hivi kamuambukiza mpaka CB?!
 
sawa bwana putin tumekusikia
Acha kabisa ,,kuna mwanamke ukidate naye ( tukiachana namambo yatabia) yaaan unajihisi km umetumbukizwa ndani ya asali ilowekwa ktk Glass ya Dhahabu ...yaaan unampenda kiumbo nabado ndani nimtamu hahahahha.

Yaaan unaweza kuhisi huko nyuma hukuwa unadate na mwanamke !!!...

Ukiacha na MTU tafuta MTU mkali zaidi yake......
 
mtoto wa kiume kakomaa anajiita Beira baby boy alafu anawashambulia wanaume wa Dar,wonders shall never end.
 
Back
Top Bottom