ajali kama hizi sio za mara kwa mara lakini inaonekana ni tishio kwa sababu kuna mkubwa kafa, ila hizi za barabarani zinazotokea kila siku na kuua mamia ya watu ni za kawaida tu!!!!
Hii chpoa hutumiwa na viongozi wa Chadema mara nyingi hata lowassa alishawahi kuitumia.

Kwa Nn Hamuhoji Kabla??? Ni Watu Wa Kusubil Maafa Ndipo Muanze Kuhoji!!! Hii Mbaya Pia.Wadau kumbe hii chopa iliyomuondoa Deo filikunjombe ndio ile iliyomuangusha Nassari kule Arumeru.
Swali ni kwamba Chopa hii ilitengenezwa lini na ilipewa baraka za kuruka tena?
Mamlaka ya Anga ituambie.
Wadau kumbe hii chopa iliyomuondoa Deo filikunjombe ndio ile iliyomuangusha Nassari kule Arumeru.

Uchunguzi ufanyike mara moja.