hii chopa ndiyo ile ile iliyo waangusha mawaziri wakati wanatembelea wahanga wa mafuriko dar. na ndiyo hii hii iliyomwangusha bosi mmoja huku kiongozi wa jeshi akijisifu kwa kuruka huku boss wake akimwacha ndani ya helicopta
ajali kama hizi sio za mara kwa mara lakini inaonekana ni tishio kwa sababu kuna mkubwa kafa, ila hizi za barabarani zinazotokea kila siku na kuua mamia ya watu ni za kawaida tu!!!!
hii chopa ndiyo ile ile iliyo waangusha mawaziri wakati wanatembelea wahanga wa mafuriko dar. na ndiyo hii hii iliyomwangusha bosi mmoja huku kiongozi wa jeshi akijisifu kwa kuruka huku boss wake akimwacha ndani ya helicopta
Yaani kwa kweli, kama ni hivi hii haikubaliki.
Kibali cha usalama wa anga kimeendeleaje kuwepo kwenye chombo chenye majanga hivi???
Hapana kwa kweli.
This is beyond imagination