Chooni na RADIO

Mke mmoja alimpa mme wake radio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu.
Basi alivyotoka akamuuliza: "enhe, mume wangu, vipi ulienjoy?"
mume: "ah, wajinga hawa! Wameniwekea wimbo wa taifa nimekunya huku nimesimama!"

Hahahahaaaaaaaa!!!!! Uuuuwwwwwwwiiiiiiiiiii, efyuuuuuuuu!!!!!!
I see, leo nimecheka sana...
 
Mke mmoja alimpa mme wake radio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu.
Basi alivyotoka akamuuliza: "enhe, mume wangu, vipi ulienjoy?"
mume: "ah, wajinga hawa! Wameniwekea wimbo wa taifa nimekunya huku nimesimama!"
Haaaaaaaa,haaaaaaaa,haaaaaaa,uwiiiiiiiiiii!jaman mabvu zangu mie,ahaaaaaa haaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Mke mmoja alimpa mme wake radio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu.
Basi alivyotoka akamuuliza: "enhe, mume wangu, vipi ulienjoy?"
mume: "ah, wajinga hawa! Wameniwekea wimbo wa taifa nimekunya huku nimesimama!"

Jamaa ni bonge la mzalendo.... Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…