Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,698
je unajenga? Una mpango wa kujenga? Una eneo dogo unasumbuka kuplan kuweka mashimo ya maji taka toka choon? Je umejenga mahali ambapo water table iko juu sana,hadi umeshndwa kuchmba mashmo ya majataka? Au umejenga lakn unasumbuliwa na kujaa mara kwa mara kwa majitaka na harufu? Ninatengeneza bio digester ni ndogo na iko very effective katk biodegrade uchafu! Kwa ushaur bure nipm.FREE