Saa nyingine mind set inatokana na mambo unayofanyaga mwenyewe ukiwa peke ako, unahisi na wao hufanya hivyoHahahahahaaa you can emagine umekutana na mtu halafu anakimbilia kutoa mkono kukusabahi huku katoka kujichokonoa kipwinto halafu ukute kulikuwa na kimanda kimegandia.
Mie sio tuu nachukia hand shake ila pia sipendi ile tabia ya mtu kutaka kuonja chakula changu with his/her bare hand..... hasa wa maofisini. I don't trust anyone. Niko hivo.
Kasie.
Mie soko la nini....... Kwani nauza nini mpaka niwe na wateja wa kutosha? Mie nina mmoja tu gentlemen wa nguvu anayeielewa figure yangu.Sister kama wewe ni flat screen soko lako nina hakika linasuasua sana.kalio ndo kiburudisho cha marijali wengi bana.
= =Sawaaaaa
Saa nyingine mind set inatokana na mambo unayofanyaga mwenyewe ukiwa peke ako, unahisi na wao hufanya hivyo
Jamaa ana moyo sana kuwa na flat screen.unajua jamaa amebaini ukiwa na demu flat screen basi upo peke yako maana hakuna marijali wanaohangaika nao.jamaa hataki stress kabisa ya kuibiwa.Mie soko la nini....... Kwani nauza nini mpaka niwe na wateja wa kutosha? Mie nina mmoja tu gentlemen wa nguvu anayeielewa figure yangu.
unaonaje leo nikuvukishe bahari uje kushangaa daraja la Kigamboni (Ibra87 Bridge)Mmmmmh ulinikwepa tu....
Lazma awe peke yake mana hata alivyoumba binadamu wa kwanza alikuwa eva na adam peke yao......uliona adam aliletewa wanaume wengine ili apate competition kwa eva.?Jamaa ana moyo sana kuwa na flat screen.unajua jamaa amebaini ukiwa na demu flat screen basi upo peke yako maana hakuna marijali wanaohangaika nao.jamaa hataki stress kabisa ya kuibiwa.
Ah sasa hivi wanaovuka daraja wengi acha kwanza watu walizoeee ndipo nami nije......unaonaje leo nikuvukishe bahari uje kushangaa daraja la Kigamboni (Ibra87 Bridge)
tunavuka kwa pantoni kisha nakupeleka pale mikadi tukirudi ndio nikupitishe darajaniAh sasa hivi wanaovuka daraja wengi acha kwanza watu walizoeee ndipo nami nije......
Next time buddy.tunavuka kwa pantoni kisha nakupeleka pale mikadi tukirudi ndio nikupitishe darajani
hata me nachukia hii kituThat's why i hate hand shakes
Endelea kujitetea na hoja za kiimaani ila ukweli unao moyoni.Lazma awe peke yake mana hata alivyoumba binadamu wa kwanza alikuwa eva na adam peke yao......uliona adam aliletewa wanaume wengine ili apate competition kwa eva.?
ndio nimepata kamuda weekend hiiNext time buddy.
Utafia hapo.Unafanya selfie....? Niambie nijipange kutoka 45mins to 1:15 hivi....!
Wewe endelea kujidanganya na tamaa za mwili na anasa za dunia hii.... .imani yangu ni ya msingi sana na ndiyo inayonisaidia katika maisha yangu ya kila siku.....Endelea kujitetea na hoja za kiimaani ila ukweli unao moyoni.
mbona waguna mrembo?Mmmh!!
Nami nina ratiba nyinginendio nimepata kamuda weekend hii
dah kapuku hujambo?Utafia hapo.
Ok mpendwa MUNGU akusimamie katika Ratiba ZakoNami nina ratiba nyingine