Mwizi. Ameiba mpaka kapitilizaAnaona aibu nani mwizi au aliyeibiwa?

We si msukuma??Lakini mnaona wabunge wote wa upinzani walipshiriki walishinda?
Na wameshinda ila wamenyang'aywa ubunge wao ?
Tumewahi kushinda viti vyote vya bunge ambapo tuliweka wabunge washindane ?
Kalale na mkeo,haya hayakuhusuMkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni?
Muendelee kupigania haki za waliodhurumiwa wakati waliopewa haki wakiendelea kutuwakilisha, vinginevyo sisi tutakuwa wakiwa hatutakuwa na mtetezi.
Kama mjuavyo wale wa upande wa pili hawatakuwa na uwezo wa kuhoji lolote zaidi ya kuunga mkono na kupongeza hata kama halitakuwa na maslahi kwetu sisi wanyoge, hilo ni ombi ila mkifanya tofauti nitaandamana peke yangu.
Naelewa mkuu. Ukinisoma between the lines utanielewa nini nimeandika hapo. Hiyo lugha niliyoiweka hapo tuko pamoja kabisa na hicho ulichoweka wewe. Tunasubiri maendeleo ya chama kimoja baada ya wale waliokua wanayarudisha nyuma kuwekwa pembeni.Maendeleo hayawezi kujadiliwa na wabunge wa kijani zaidi wanakwenda kuugeuza ukumbi wa bunge kuwa ukumbi wa Chimwaga.
Katika taratibu tano za kumshugulikia mpinzani wako, moja Inataka kwenye political contest : Mpinzani wako lazima apigwe na achakae sana, kiasi kama asiweze kabisa kuwa na uwezo wa kurudusha mashambulizi.Kumbe upinzani ni wa muhimu mjengoni!??. Siyo wanaturudisha nyuma!?
Uchaguzi umeisha sasa kampeni za nini tena,tuchape kazi mambo mengine hayatuhusu.Mkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni?
Muendelee kupigania haki za waliodhurumiwa wakati waliopewa haki wakiendelea kutuwakilisha, vinginevyo sisi tutakuwa wakiwa hatutakuwa na mtetezi.
Kama mjuavyo wale wa upande wa pili hawatakuwa na uwezo wa kuhoji lolote zaidi ya kuunga mkono na kupongeza hata kama halitakuwa na maslahi kwetu sisi wanyoge, hilo ni ombi ila mkifanya tofauti nitaandamana peke yangu.
pointlessNaona wao waliochaguliwa waendelee na shuguli za wananchi. Ni bora hao 18 kuliko kuwa bila hata moja ndani ya mjengo.
Wana qualify kivipi wakati uchaguzi haukuwa huru?Chadema wana qualify kupata wabunge wa viti maalumu. Requirement ni kura za wabunge zifike at least 5% na chadema wamefika na kuzidi. Idadi inategemea na % juu ya hiyo 5%.
Katika matokeo hayohayo yenye "sarakasi" hicho "walichopewa" CHADEMA kinawapa sifa ya kuteua wabunge wa viti maalumu. Suala la kukubali kuteua au kutoteua linabaki kwenye uamuzi ndani ya chama.Wana qualify kivipi wakati uchaguzi haukuwa huru?
Hatututaki.Bunge la sasa halikuchaguliwa na wananchi bai lilichaguliwa na NEC na wakurugenziMkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni?
Muendelee kupigania haki za waliodhurumiwa wakati waliopewa haki wakiendelea kutuwakilisha, vinginevyo sisi tutakuwa wakiwa hatutakuwa na mtetezi.
Kama mjuavyo wale wa upande wa pili hawatakuwa na uwezo wa kuhoji lolote zaidi ya kuunga mkono na kupongeza hata kama halitakuwa na maslahi kwetu sisi wanyoge, hilo ni ombi ila mkifanya tofauti nitaandamana peke yangu.
Mwenye nchi ameshasema wapinzani wametuchelewesha sana miaka yote hii 60 ya Uhuru wetu wapinzani wamekuwa kikwazo.Mkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni?