Baba Mdogo wa Tz
Member
- Feb 2, 2015
- 7
- 1
mkuu una uhakika taifa hili halina dini? Mbona kwenye dokumenti za serikali wafanyakazi wa umma wanaambiwa wajaze dini zao? Kama nchi haina dini, dini ya mfanyakazi kwa nini ijazwe kwenye dokumenti za serikali? Kama taifa kuna sehemu tunajichanganya kuhusu mambo haya ya dini.Tatizo sio mahakama ya kadhi, tatizo ni mahakama kutaka kuambatanishwa na taifa lisilo na dini! Kwa nini mahakama hiyo isiwe ndani ya uislamu na waislamu mpaka iwe ndani ya utanzania na watanzania?
mkuu una uhakika taifa hili halina dini? Mbona kwenye dokumenti za serikali wafanyakazi wa umma wanaambiwa wajaze dini zao? Kama nchi haina dini, dini ya mfanyakazi kwa nini ijazwe kwenye dokumenti za serikali? Kama taifa kuna sehemu tunajichanganya kuhusu mambo haya ya dini.

Waislam wanataka wtuharibie nchi angalia kama Zanzibar wakristo wapo lakini hakuna waziri mkristo,wala makamu Wa rais Wa jamhuri ya muungano Wa Tanzania toka Zanzibar akateuliwa mkristo wakati wakristo wapo huko, ni wabaguzi, wabaguzi, mpka kwenye kuchinja. Wakristo kaeni chonjo mkilemaa hawa jamaa ni hatari kupitia ccm Yao watatunyonga adharani , kama wakristu walioko Zanzibar hat kula adharani siku wamefunga iddi Yao ni kosa je wakiwa mahakama kadhi huku itakuwaje???
Mkuu Mbona unatoa maneno ya ajabu ajabu bila kufikiri?
Zanzibar wakristo hawafiki hata 1% ! Sasa unategemea Ktk hio less than 1% apatikane Rais? Au makamu wa Rais?
Mbona ushabiki mwingine unazidisha chuki tu?
Na huku Bara waislamu si chini ya asilimia 58% takwimu kaulize wizarani.
Sasa haya maneno yako ya kusema Waislamu wabaguzi hivi umetumia vigezo vipi hapa? Au basi tu ndio zile chuki zisizo na tija?
Acha chuki za kitoto utaathirika mwenyewe.
Kwahiyo wakiwa chini ya asilimia moja ndio wasiteuliwe kwenye katiba kuna kitu kama icho??
Kama ni kweli Tanzania Bara kuna waislamu wanafika 58%, basi nchi itabakia na blabla zinazoendelea sasa na kabla. Wakati dunia inahangaikia sheria za mikataba ya kibiashara, sisi tunahangaika na sheria za kuadhibiana kwa imani za dini. Upuuzi mtupu!!/!/!//!!!Mkuu Mbona unatoa maneno ya ajabu ajabu bila kufikiri?
Zanzibar wakristo hawafiki hata 1% ! Sasa unategemea Ktk hio less than 1% apatikane Rais? Au makamu wa Rais?
Mbona ushabiki mwingine unazidisha chuki tu?
Na huku Bara waislamu si chini ya asilimia 58% takwimu kaulize wizarani.
Sasa haya maneno yako ya kusema Waislamu wabaguzi hivi umetumia vigezo vipi hapa? Au basi tu ndio zile chuki zisizo na tija?
Acha chuki za kitoto utaathirika mwenyewe.
Kama ni kweli Tanzania Bara kuna waislamu wanafika 58%, basi nchi itabakia na blabla zinazoendelea sasa na kabla. Wakati dunia inahangaikia sheria za mikataba ya kibiashara, sisi tunahangaika na sheria za kuadhibiana kwa imani za dini. Upuuzi mtupu!!/!/!//!!!
Tatizo sio mahakama ya kadhi, tatizo ni mahakama kutaka kuambatanishwa na taifa lisilo na dini! Kwa nini mahakama hiyo isiwe ndani ya uislamu na waislamu mpaka iwe ndani ya utanzania na watanzania?
Mnaonaje Vitivo vya sheria katika vyuo vikuu ama vyuo vingine vinavyotoa mafunzo ya sheria ,viongeze mtaala mwingine wa sheria za kidini ambazo mwanafunzi atakuwa anasoma masuala ya sheria za kidini (dini zote) tu. Na huyo ndiye atakayehusika na masuala ya mashauri yanayohusu dini. Itungwe sheria ya kutambua uwepo wa sheria za kidini zote na serikali iajiri wataalamu wa masuala haya kutoka vyuo nilivyotaja hapo juu.
Hili litapunguza mgogoro huu wa masuala ya kidini....na sasa serikali itakuwa imejitenga na masuala ya kupendelea upande mmoja wa dini. Na wale watakao kataa mpango huu ninaimani watakuwa na ajenda yao ya siri ya kutaka kuilazimisha nchi hii iwe na mfumo unaofuata dini fulani. Hili hatutalikubali kamwe.