Mmmh, kumbe upo kote kote!!...mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani
Simba mna weweseka kama mama mwenye kifafa cha mimba...
huku ndio kwangu JabulaniMmmh, kumbe upo kote kote!!
Kutokana na uvumi uliozagaa kuwa eti kaseja atarudi simba, napenda kuwashauri viongozi wasimrudishe kabisa juma k. Juma kama golikipa . Huyu bwana hutumika kugawa timu , mkimrudisha mtakuwa mnarudi kule kule kwenye migogoro ya wachezaji make huyu ana akili kama za zzk. Msidiriki hata kidogo kumrudisha mwacheni huko huko aliko.
Kumpongeza opponent wako mchezoni ni kosa?Baada ya ile gemu yetu na "kandambili", Kaseja alienda kumpongeza Manyika kwa kazi nzuri aliyoifanya. Nilipenda sana hilo tukio, mana Kaseja alionesha "true colour" yake.
Kutokana na uvumi uliozagaa kuwa eti kaseja atarudi simba, napenda kuwashauri viongozi wasimrudishe kabisa juma k. Juma kama golikipa . Huyu bwana hutumika kugawa timu , mkimrudisha mtakuwa mnarudi kule kule kwenye migogoro ya wachezaji make huyu ana akili kama za zzk. Msidiriki hata kidogo kumrudisha mwacheni huko huko aliko.
si kosa lkn kwa kaseja ni habari nyingineKumpongeza opponent wako mchezoni ni kosa?
Ndo maana Afcon tutaisikia kwenye bombs tu
Kumpongeza opponent wako mchezoni ni kosa?
Ndo maana Afcon tutaisikia kwenye bombs tu
shinikizo la Phiri kwamba ni zaidi ya mchezaji awapo langonikuna wanafiki tu simba hawamtakii mema kaseja lkn ameonsha mapenzi ya dhati na timu....mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani
Aende tu maana hata huku jagwani tumemchoka.