Umeandika hovyo sana, nimejitahidi kusoma, hamu ya kuendelea kusoma imekata njiani.
Mkuu. Hujamuelewa anachoomba kwa Mhe. Rais ni akija Bongo, aruhusiwe kurejea kazini kwake,Ulimkimbia mmeo ukakimbilia huko uarabuni maisha yamekugeuza unaomba kurudi ndo ukome sasa,tunaogopa waweza kuwa Al-Qaeda wewe si bure
Nimemuelewa hiviMe sijaelewa unahitaji msaada gani?