Chole hostels za muhas

Chole hostels za muhas

Duuh ha ha ha

Ngoja niende library yangu ya picha labda ninaweza kupata

Umeshapata chumba Chole?Sio kila first year atapata mkuu unless utabebwa
 
Kuko fresh mkuu,usijali...

Kapate upepo wa bahari huko.
 
mwenye kujua utaratbu wa kupata joinng instructions na admssion kwa wale wa diploma anijuze,nipo mbali na dar.please!npo masaka UGANDA.
 
Duuh ha ha ha

Ngoja niende library yangu ya picha labda ninaweza kupata

Umeshapata chumba Chole?Sio kila first year atapata mkuu unless utabebwa
Bado sijapata aisee. Kumbe kuwa first year sio guarantee kuwa utapata?
 
Back
Top Bottom