chizifresh:anajiandaa kwenda kucheza mechi uwanjani ila cha kushangaza anatoka na jembe
mke wake anamuuliza:vp mbona unaondoka na jembe wakati unaenda uwanjani kucheza mpira?
Chizifresh anajibu:nina wasiwasi mechi itaishia kwenye matuta