Wala usijali love, ntakununulia kiwembe kipya tena Gillette, unichune utakavyo. Ngozi yako hii mama.....:majani7::majani7:
Binti amu ukisoma hapo kwa red huoni kuna kadalili ka wivu wa kike?
Skiza BIBIE KOKUTONA..... wala usiwe na hofu, next month nakuja Tanga, kazi kwako kama unataka kujifunza uchunaji. Uzuri wetu mababu unapata mihela mingi kwa kazi ndogo......:becky::becky:
wanajuuuuta
mmmmmhhh????
Ruttashobolwa nasikia white party kila mtu ana wake, naogopa kuwa lonely.
Ruttashobolwa nasikia white party kila mtu ana wake, naogopa kuwa lonely.
Hahahahahahahahahahaha
si kweli dadaangu!
Hehehehe KOKUTONA bana, hivi waweza ujua utamu wa biriani kwa kuliangalia? Na uchachu wa mtindi waweza utambua kwa macho? Ukitaka kujua utamu wa ngoma si shurti uingie ucheze au? Basi usijali bibie, nini kutapika bana, huna haja ya kutapika utatapishwa mama.:becky::becky::becky: (basi kuna vimjamaa vimekuonea wivu afu vitachonga ile mbaya. Damn hivi sahizi sangapi? Ngoja nijirudie kwa mamsap mie)Ha ha haaaaaaaaaaaa Asprin unanizidishia kicheko.
Mie sina wivu mbona?
Nafurahi amu anavopata mijihela kwa mzee, ila nyie wazee sometimes hamchelewagi...........
Mi kuchuna noooo, sitaki kutiwa kichefu chefu afu nikaachwa bila kutapika, akuuuu.
Karibu Tanga anyway, nitakuandalia supu ya ngisi, waijua?
Hehehehe KOKUTONA bana, hivi waweza ujua utamu wa biriani kwa kuliangalia? Na uchachu wa mtindi waweza utambua kwa macho? Ukitaka kujua utamu wa ngoma si shurti uingie ucheze au? Basi usijali bibie, nini kutapika bana, huna haja ya kutapika utatapishwa mama.:becky::becky::becky: (basi kuna vimjamaa vimekuonea wivu afu vitachonga ile mbaya. Damn hivi sahizi sangapi? Ngoja nijirudie kwa mamsap mie)
Hapo kwa blue umenena neno la neema, ulichokosea kuuliza tena kama naijua.
Hivi niongee kiyunani ndo unielewe?mambo yangoso mwachie mwenyew!sijuzi nimekukataza umbea?wa mtaani?sasa nabadrisha style utajuta!