K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,943 Jan 2, 2017 #1 Hawa ndio chipukizi waliosajiliwa timu za Simba na Yanga katika dirisha dogo la usajili. Pastory Athanas. Stand united - Simba Emmanuel Martin. JKU - Yanga Attachments MARTIN.jpg 8.9 KB · Views: 115 PASTORY ATHANAS.jpg 71.9 KB · Views: 192
Hawa ndio chipukizi waliosajiliwa timu za Simba na Yanga katika dirisha dogo la usajili. Pastory Athanas. Stand united - Simba Emmanuel Martin. JKU - Yanga
M MALCOLMZ Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23 Reaction score 6 Jan 2, 2017 #2 Mbn uyo Wa yanga kakomaa Sana'a....???
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,943 Jan 2, 2017 Thread starter #3 MALCOLMZ said: Mbn uyo Wa yanga kakomaa Sana'a....??? Click to expand... NDIO CHIPUKIZI WETU HAO
Mr come down Member Joined Dec 5, 2016 Posts 60 Reaction score 30 Jan 2, 2017 #4 [emoji15] [emoji15] [emoji15]
balili JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 229 Reaction score 175 Jan 3, 2017 #5 Konaball said: Hawa ndio chipukizi waliosajiliwa timu za Simba na Yanga katika dirisha dogo la usajili. Pastory Athanas. Stand united - Simba Emmanuel Martin. JKU - Yanga Click to expand... Katoka JKT Mlale kaenda JKU Zanzibar kote jeshini unataka awe laini laini.... MALCOLMZ said: Mbn uyo Wa yanga kakomaa Sana'a....??? Click to expand...
Konaball said: Hawa ndio chipukizi waliosajiliwa timu za Simba na Yanga katika dirisha dogo la usajili. Pastory Athanas. Stand united - Simba Emmanuel Martin. JKU - Yanga Click to expand... Katoka JKT Mlale kaenda JKU Zanzibar kote jeshini unataka awe laini laini.... MALCOLMZ said: Mbn uyo Wa yanga kakomaa Sana'a....??? Click to expand...
salazar JF-Expert Member Joined Aug 13, 2016 Posts 681 Reaction score 390 Jan 3, 2017 #6 Mh uchipukizi wa kilegendary kabisa
salazar JF-Expert Member Joined Aug 13, 2016 Posts 681 Reaction score 390 Jan 3, 2017 #7 Mbona naona kuna veteran
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,053 Jan 3, 2017 #8 Yanga timu kubwa sio feeder club ya kulea vitoto. Hiyo ni kazi ya vilabu vidogo vidogo. Anayesajiliwa Yanga anaingia mzigoni straight!
Yanga timu kubwa sio feeder club ya kulea vitoto. Hiyo ni kazi ya vilabu vidogo vidogo. Anayesajiliwa Yanga anaingia mzigoni straight!