Chino Kid amjibu Nuh Mziwanda 'Njoo studio kaka mkubwa, acha kuwapa watu faida kakaangu'

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Msanii wa Bongo fleva @chino_kidd7 baada ya kuona ujumbe alioushea Msanii @iam_mziwanda akiwataka baadhi ya Wasanii wenzake kuweza kumsaidia wapate wimbo wa pamoja ili arudi kwenye game.

Chino Ameguswa na suala hilo na kumtaka Nuh aje Studio ili warekodi wimbo pamoja na kumtaka aache kuwapa watu faida kwani ni kujizalilisha mtandaoni.

Chino ameandika kuwa "Njoo studio kaka mkubwa, acha kuwapa watu faida kakaangu 🫶"
 
Akaongee na Shishi vizuri anaweza kupewa hata kazi ya kusambaza vyakula. Si lazina wote waimbe
 
Chino kid ndo kaimba nyimbo gani?
 
Amsikilize chino ..anajua ..chino ...raise from fame...tangu aende "kule"...
 
Hapo tayari chino kashawapa watu kama mimi faida, ningejuaje!?

Angekuwa hataki showoff ANGEMFATA DM..HUO NDIO UTU!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…