Chinese version vs Global version

redcarpet

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
236
Reaction score
208
Habarini waheshimiwa popote pale mlipo, kama title inavyoonyesha nahitaji kujua kubaidilisha simu ambayo iko kwenye muundo wa Chinese version kuwa Global version je inawezekana?

Nauliza hvyo kwa maana niliagizia simu kwenye soko LA mtandaoni, kweli simu imenifikia lkn nilichokutana nacho ni tofauti na mazoea ya siku zote pale unapopata simu mpya.

Muuzaji alikuwa tayari ameshaitega ili ionekane kama iko kwenye Global rom kumbe Sio kweli kwa maana kulikuwa na baadhi ya apps za kichina.
Nikairoot dah ndio ikawa Chinese kabisa.
 
Aisee pole sana. Naamini itawezekana endapo kuna model kama hiyo yenye global rom basi upate na kuRead hiyo global rom na kuiFlash kwenye hiyo simu yako.

Je umewasiliana na seller? Kama anaweza kusaidia kitu.
 
Niliwasiliana nae nikamjulisha maana changamoto ya kwanza ilikuwa hasomi data ndio nikaingia settings Nikairoot baadae nikawasiliana na seller alichonimbia nimefanya kosa kuiroot akanipa maelekezo nikayapitia pamoja na kupitia You Tube nimeweza kuinstall Google play kwa njia nyingine kabisa lkn hainipi flowing kama simu nyingine
Aisee pole sana. Naamini itawezekana endapo kuna model kama hiyo yenye global rom basi upate na kuRead hiyo global rom na kuiFlash kwenye hiyo simu yako.

Je umewasiliana na seller? Kama anaweza kusaidia kitu.
 
Kwanza hujaweka model ya simu husika, kama ulifanikiwa ku root itakuwa toleo la zamani[emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…