JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
Wanaogopa! Watasuguana huko huko kwao lakini hawasogelei anga la Marekani.
Wanaogopa! Watasuguana huko huko kwao lakini hawasogelei anga la Marekani.
Sipend mtu anaejifanya anajua kumbe hajui,kama wewe Kichuguu n juzijuzi tu hapa marekani alikua analalamika mrusi kufanyia mazoez kwenye mpaka wa anga yake..we unasema hawasogelei
Mkuu, mara kwa mara Ndege za warusi huwa zinaenda anga la mbali ambalo rada za USA zinaziona na kuzi tishia kuzi intacept hasa kwenye ufukwe wa florida. Ndege hizo huwa zina kuwa na wanafunzi wa kijeshi wa ki russia wanakuwa kwenye masoma ya kurusha hizo bomber na kusoma international boundaries. Marekani huwa anachukia sana lakini hawezi kumshitaki, kwa kuwa huwa hawaingii kwenye anga la america lakini maeneo wanayopita ni kama jamaa kakaa ghorofani kwake alafu kuna mtu anaoga nyumbani kwake kwenye bafu lisilokuwa na paa. Sasa huyu wa ghorofani anauwezo wa kumchungulia akiwa huko huko nyumbani kwake.
Angalia hiyo link ni US wenyewe ndo wanasimulia. Mambo ya USAF ndo wanaweza pekeyao yanakwisha mkuu. Soma alama za nyakati.
Russian bombers increase flights near U.S. airspace
You are missing the point.Inaonekana wachangiaji wengi humu mna chuki binafsi dhidi ya US simply because ni mshirika wa Israeli.
Soma post niliyomjibu mwingine hapo juu; ndege za urusi hazijawahi kukaribia continental US airspace. Madai ya ndege za urusi kuruka juu ya anga la Florida ni exaggeration kavu sana labda wewe unaota submarine za mwaka 1962 huko Cuba
Basi mkuu, hiyo link nilioiweka unaona ni exaggeration? ok basi ngoja tufuate wewe unachoona si exaggeration. Enjoy JF
hapo ndio mwisho wa akili yakoInaonekana
wachangiaji wengi humu mna chuki binafsi dhidi ya US simply because ni
mshirika wa Israeli.
First of all ur
point is baseless may be u should stick to the point.Listen my dear,No
countries would like another country flying surveillance around their
air boundaries... u think US allowed other countries to do it?
Just kind of irritating & provocative action by the arrogant US.
After all China was conducting "routine identification and verification"
flights.
.