Chinese Su-27 Warplane 'Intercepts' US Navy's P-8 Poseidon

Extraterrestrial

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
413
Reaction score
265
http://www.ibtimes.co.uk/chinese-su-27-warplane-intercepts-us-navys-p-8-poseidon-1462320

Hivi huyu US, China si alishamwambia akae mbali na South China sea dispute?

Hivi kwa mfano tu wakuu, South China sea inamuhusu Vipi huyu USA?

Kazi yake kubwa ni kumgombanisha tu China na majirani zake.

Mi natamani wangedundana tu huko angani adabu ingekuwepo.

Hivi Mbona siku hizi kumekuwa na Millitary air show nyingi sana?
 

Attachments

  • us-china-mid-air-interception.jpg
    18.1 KB · Views: 982

Mkuu, siku hizi tech ambazo amerika alikuwa analinga nazo watu wameshaanza kuzijaribu na kuzitumia. Mchina nanavyofanya hivyo ni improvement kwake. Kwamba at least anaweza ku intacept ndege za kivita za kimarekani. Na hii mambo ya sanctions ndo mrusi ana mweka wazi sana marekani. kwani zamani russia alikuwa anamstahi marekani akijua interest zao ni sawa. sasa hivi ni sera ya jino kwa jino. utaona mambo mengi sana sasa.
 
Sijaelewa luga, eti hicho ulichoandika ndo kichina?

ehehehe! mkuu hujaelewa kweli au ndo mambo ya kusanifu/kuzuga mtu?

Kwa maneno rahisi ni kwamba Ndege za marekani zilikuwa zina linda/ kusavei maeneo ya south china, alafu ndege za kivita za china zikawa kama zina zizuia ndege za kimarekani zisiingie kwenye anga la mchina. Marekani inalalamika kwa serikali ya china kwanini inafanya hivyo......
Na imepeleka malalamiko kwa njia ya kidiplomacia kuelezea hilo jambo kwa china.
 

Aise mkuu umetafsiri vizuri Yani nisingeweza pamoja na kwamba ni lugha yangu ya asili.Salute!!
 
Ahsante mkuu.
Mbona wewe umeandika kidogo umeeleweka lakini mwenzetu kaandika meengi hayaeleweki? Kweli kusoma sana sio kuelimika.
 
US na EU wameshaanza kupata dawa, mwisho wa siku wataona dunia chungu watakapogeukwa
 
Mchina alipaswa aitandike hiyo ndege ya upelelezi ya US kwan anachokifanya US ni uchokozi dahiri apo angekua ni muIRAN angeitandika then wakamalizana refer to RQ170 sentinel na vindege vingine visio na ruban ambavyo US amekua akivipelea Iran kupeleleza IRan halembi yeye anavitungua tu ndo maana US apeleki kule manned aircraft kwan wanajua jamaa atatungua tu
 
Shuguli ipo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Juzi kati ndege ya marekani ilikua inabip anga la russia,e bana zikaibuka sukhoi mbili faster zikawa zinalock in kwenye rada ya ndege ya marekani.
Unapotaka kuengage ndege na shambulio la kombora sharti ulock in rada ya ndege adui ili kupata shabaha.
Ndege ya marekani iligeuka mbio kwani ilikua eneo lisilotakiwa.ikatua sweden bila ruksa,hadi ukawa msala kwani sweden walidhani wanavamiwa mpaka marekani ikabidi kutoa maelezo marefu sana.
 

Ni kweli mkuu nilicheka sana baada ya kusoma hiyo habari.Na ilitua ghafla Sweden wakati Sweden siyo member wa NATO,US alibanwa haswa.Let the Millitary air shows continue.Russia hataki mchezo sasa hivi!!
 
Mbona wao kina China, Russia hawaendi kwenye anga yake?
 
Inaonekana wachangiaji wengi humu mna chuki binafsi dhidi ya US simply because ni mshirika wa Israeli.
 
Inaonekana wachangiaji wengi humu mna chuki binafsi dhidi ya US simply because ni mshirika wa Israeli.

First of all ur point is baseless may be u should stick to the point.Listen my dear,No countries would like another country flying surveillance around their air boundaries... u think US allowed other countries to do it?
Just kind of irritating & provocative action by the arrogant US.
After all China was conducting "routine identification and verification" flights.
.
 
Inaonekana wachangiaji wengi humu mna chuki binafsi dhidi ya US simply because ni mshirika wa Israeli.

Mkuu, ki ukweli sisi na mrusi na mchina tunaushirikiano mzuri tangu zamani kwa kuwa wote tulikuwa wajamaa. Enzi hizo nyerere aliwekeana mambo mazuri sana kati yetu na mchina na Mrusi. Watu wetu kibao walienda kusoma russia, china na cuba.
Kwa mtazamo wangu mimi naona kati ya ujamaa na ubepali ujamaa una nguvu na nchi zilizokuwa za kijamaa kweli zimeweza kujitegemea. Mfano. China walikuwa masikini wa kutupwa na walitoa pesa yao kwenye world market. Lakini sasa hivi angalia wanavyomkaribia america kwa uchumi. Cuba waliinyanyapaa sana eti sababu ya ujamaa lakini huwezi kusikia hata siku moja cuba wanaenda benki ya dunia kuomba mkopo. North korea kila kukicha akina US wanawawekea vikwazo lakini jamaa ndo kwanda wanafanya research zilizoenda shule wanarusha inter-continental misile na satelite za kijeshi. Mrusi ndo kama unavyoona anawanyanyasa US EU na tech ya kivita iko advanced sana.
Huu ni mtazamo wangu lakini. Najua kuna watu humu watakuja watataka kunitoa roho.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…