China yatoa tahadhali

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Moderator asafali/tafadhali/tahadhari nk

Naomba usaidie kubadili title ya mwamba... Nashindwa kujua anatoka mkoa gani.

Yote heri cha muhimu ujumbe umefika.

Shout out to team Putin wa Manzese
 
Mods wanaendelea kunikaushia ilimradi tu nidhalilike na kichwa cha uzi😂
 
Watanzania mnashabikia Vita. Na USA & Europe Ndio wasaidizi wetu ktk bajeti. Ivi nyinyi vijana ambao umri wenu mdogo mnalijua ilo kwamba USA & Europe. Ndio wasaidizi wetu. Au mnakuwa kama waukraine walivyokuwa wanakimbia na mbwa. Baadae MTU anamtupilia mbali. Wengine wamekimbia wameaacha wake zao na watoto. Acheni ushabiki maaandazi
 

Cheki kichwa andazi huyu unawaza misaada tu, wwe kweli mwanaume?? Mwanaume gani unawaza kusaidiwa wewe bila shaka upo tayari mke wako aliwe ili upate msaada.

Kama taifa bado tuna wakati mgum kama ndo akili za vijana ndo hizi kazi ipo.
 
Vijana WA hovyo hawa hawajui kitu,washenzi kabisa.hao warussia ana wachina hawana msaaada wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…