MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,570 Reaction score 53,584 Mar 5, 2015 #1 China inasema kuwa bajeti yake ya ulinzi itaongezeka kwa asilimia kumi mwaka huu. Wanajeshi wake wanatarajiwa kupewa dola bilioni 145 na kuendelea na mfumo wa kuongeza bajeti ya jeshi ulioanza miaka 20 iliyopita. Taifa la Marekani ndilo hutumia fedha nyingi zaidi kwa bajeti ya jeshi. Akitoa tangazo hilo msemaji wa serikali Fu Ying alisema kuwa China imejifunza kutokana na historia. Japan nayo iliongeza bajeti ya jeshi lake mwaka huu baada ya kuipunguza kwa miaka mitatu mfululizo. China yaongeza bajeti yake ya Jeshi - BBC Swahili
China inasema kuwa bajeti yake ya ulinzi itaongezeka kwa asilimia kumi mwaka huu. Wanajeshi wake wanatarajiwa kupewa dola bilioni 145 na kuendelea na mfumo wa kuongeza bajeti ya jeshi ulioanza miaka 20 iliyopita. Taifa la Marekani ndilo hutumia fedha nyingi zaidi kwa bajeti ya jeshi. Akitoa tangazo hilo msemaji wa serikali Fu Ying alisema kuwa China imejifunza kutokana na historia. Japan nayo iliongeza bajeti ya jeshi lake mwaka huu baada ya kuipunguza kwa miaka mitatu mfululizo. China yaongeza bajeti yake ya Jeshi - BBC Swahili
BINARY NO JF-Expert Member Joined Dec 29, 2011 Posts 2,155 Reaction score 2,171 Mar 6, 2015 #2 Kenya nayo baada ya kuteswa na alshabab na mungiki nao waongeza bajeti yake ya ulinzi ns kuziacha Tanzania,Uganda ,Rwanda na Burundi kwa pamoja
Kenya nayo baada ya kuteswa na alshabab na mungiki nao waongeza bajeti yake ya ulinzi ns kuziacha Tanzania,Uganda ,Rwanda na Burundi kwa pamoja
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,417 Reaction score 38,056 Mar 6, 2015 #3 Tanzania itaongeza bajeti yake ya miundombinu na kuiacha Kenya ikiangaika na Alshabab BINARY NO said: Kenya nayo baada ya kuteswa na alshabab na mungiki nao waongeza bajeti yake ya ulinzi ns kuziacha Tanzania,Uganda ,Rwanda na Burundi kwa pamoja Click to expand...
Tanzania itaongeza bajeti yake ya miundombinu na kuiacha Kenya ikiangaika na Alshabab BINARY NO said: Kenya nayo baada ya kuteswa na alshabab na mungiki nao waongeza bajeti yake ya ulinzi ns kuziacha Tanzania,Uganda ,Rwanda na Burundi kwa pamoja Click to expand...
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,116 Reaction score 54,358 Mar 6, 2015 #4 Wapo vizuri
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,957 Reaction score 42,431 Mar 6, 2015 #5 BINARY NO said: Kenya nayo baada ya kuteswa na alshabab na mungiki nao waongeza bajeti yake ya ulinzi ns kuziacha Tanzania,Uganda ,Rwanda na Burundi kwa pamoja Click to expand... ha ha ha ha ha ha ha!!!!
BINARY NO said: Kenya nayo baada ya kuteswa na alshabab na mungiki nao waongeza bajeti yake ya ulinzi ns kuziacha Tanzania,Uganda ,Rwanda na Burundi kwa pamoja Click to expand... ha ha ha ha ha ha ha!!!!
JustDoItNow JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 2,967 Reaction score 1,513 Mar 7, 2015 #6 BINARY NO said: Kenya nayo baada ya kuteswa na alshabab na mungiki nao waongeza bajeti yake ya ulinzi ns kuziacha Tanzania,Uganda ,Rwanda na Burundi kwa pamoja Click to expand... Hivi jeshi la kenya lilishapigana vita ya ki ukweli? ahhahha, wakienda kupigana wanaomba kitu kidogo kwa maadui...... Nchi ya kitu kidogooooooooo.
BINARY NO said: Kenya nayo baada ya kuteswa na alshabab na mungiki nao waongeza bajeti yake ya ulinzi ns kuziacha Tanzania,Uganda ,Rwanda na Burundi kwa pamoja Click to expand... Hivi jeshi la kenya lilishapigana vita ya ki ukweli? ahhahha, wakienda kupigana wanaomba kitu kidogo kwa maadui...... Nchi ya kitu kidogooooooooo.
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,309 Reaction score 15,289 Mar 7, 2015 #7 Ni habari njema......!
M mr.chengachenga Senior Member Joined Mar 6, 2014 Posts 155 Reaction score 107 Mar 7, 2015 #8 naona wamezinduka sasa.co mbaya TZ na wenzake watakua wamejifunza kitu hata wacpotangaza