China yaongeza Bajeti ya Ulinzi, ni zaidi ya Bajeti ya Tanzania kwa miaka 12

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
IMG_2068.jpg

Serikali ya Rais Xi Jinping kupitia Bunge la Kitaifa la Wananchi (NPC), imetangaza ongezeko la Bajeti ya Kijeshi kwa zaidi ya 7% mwaka 2023, huku ikionya kuhusu vitisho vinavyoongezeka.

Bajeti hiyo imefikia Tsh. Trilioni 524.7, kiasi ambacho ni sawa na Bajeti ya Serikali ya Tanzania kwa miaka 12 kama kusipokuwa na mabadiliko. Ikumbukwe Tanzania imepanga kutumia Tsh. Trilioni 43.3 mwaka 2023/2024.

Aidha, Bajeti Kuu ya China kwa mwaka 2023/24 imefikia Tsh. Quadrillion 9.2, kiasi ambacho ni kukikubwa kuzidi Pato (GDP) la Bara zima la Afrika kwa mwaka 2023. GDP ya Afrika inakadiriwa kufikia Tsh. Quadrillion 7.2.

Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2022/23 ni Tsh. Trilioni 41.4, Uganda Tsh. Trilioni 29.9, Kenya Tsh. Trilioni 60.4, Rwanda Tsh. Trilioni 10.7 na Burundi Tsh. Trilioni 1.6.

==============

China will increase military spending by more than 7% this year, while warning of "escalating" threats.

It was announced at the National People's Congress (NPC), a rubber-stamp parliament, which is due to confirm President Xi Jinping's third term.

Beijing's military budget - around $225bn (£186bn) - is still dwarfed by that of the United States, which is four times greater.
But analysts believe China downplays how much it spends on defence.

Outgoing Premier Li Keqiang told the NPC that "external attempts to suppress and contain China are escalating".

"The armed forces should intensify military training and preparedness across the board," he said.

It was also announced at the meeting that China would pursue a reduced economic growth target of about 5% this year.
The Two Sessions, as the meetings are known, are an annual affair.

But this year's sessions are particularly significant as delegates are expected to reshape several key Communist Party and state institutions.

This week's NPC meeting will also formalise Mr Xi's leadership of the country, as he will be elected president of China and head of the armed forces.

He secured his position in the echelons of Chinese power in October last year, when the Communist Party re-elected him as their leader for a third term.

The increase in military spending comes as Mr Xi is navigating worsening ties with the US over the Ukraine war and the recent spy balloon saga, even as he warms his embrace of Russian leader Vladimir Putin.

US officials have also repeatedly warned that China may invade Taiwan in the coming years. China has held ever-growing displays of military force in the air and seas around Taiwan, including the firing of ballistic missiles.

China sees self-ruled Taiwan as a breakaway province that will eventually be under Beijing's control.

The NPC will also unveil the new premier, China's equivalent of a prime minister who traditionally oversees the economy and administrative aspects of governance.

Li Qiang, one of Mr Xi's most trusted colleagues, is expected to assume the role.

China's Two Sessions:

The basics

The Two Sessions in Beijing are the annual meetings of China's legislature and top political advisory body which attract thousands of representatives from across the country

The National People's Congress is the country's equivalent of a parliament that is, in theory, the most powerful state organ. In reality it acts as a rubber-stamp body for the ruling Chinese Communist Party, passing key laws on decisions that have already been made

The Chinese People's Political Consultative Conference (CPPCC), which has no real legislative power, draws its members from various sectors of society. Their debates are worth noting for emerging social and economic issues.
 
America ni ,$ bil 800

China amepambana bajet yake huwaga ni nusu ya USA.

Mwaka huu kazidiwa _,$ biil 300
Mkuu bila shaka hujui ulichokiandika

Bajeti ya Jeshi la China ni $225 billion ambazo kwa pesa zetu za madafu ndio hizo Tsh525 trillion alizoandika mleta mada

Bajeti ya Jeshi la Marekani ni zaidi ya $800 billion, ambazo ukizileta kwa pesa za madafu unaongelea quadrillion huko, ndio maana kuna sehemu taarifa inasema bajeti ya Jeshi la China inaingia mara nne kwa bajeti ya Jeshi la Marekani
 
Yah your right.

approximate itakuwa kwenye trilion 2000tzs. au quadrilion 2
 
Halafu kuna mtu anafanya mchezo na China na kuleta kebehi za kitoto. China akishirikiana vizuri na Urusi, North Korea na IRAN there will be no more USA wala NATO alliance lazma itajifia tu.
Sasa chukua jumla ya budget ya China + Russia + N. Korea + Iran bado hawaifikii ya USA

USA budget yake ya ulinzi kwa mwaka 2023 ni $797 billion ambayo ni sawa na Quadrillion 1.8 kibongo-bongo

  • China ndo wapo kwenye $224bn
  • Russia yao kwa mwaka 2023 inatarajiwa kuwa $84bn
  • Iran ni 24.3bn
  • North Korea wako kwenye $4bn

Yani ukijumlisha budget ya ulinzi ya China, Russia, Iran na N. Korea ndo kwa mbali itakaribia nusu ya budget ya US
 
Sawa ila tukumbuke haipigani budget! Wanaopigana ni askari.Ndio maana utaona NATO wanatolewa jasho sana hapo Ukraine pamoja na kwamba wanatoa michango ya bajeti na vifaa vya kupigana.
 
Sasa chukua jumla ya budget ya China + Russia + N. Korea + Iran bado hawaifikii ya USA

USA budget yake ya ulinzi kwa mwaka 2023 ni $797 billion ambayo ni sawa na Quadrillion 1.8 kibongo-bongo

  • China ndo wapo kwenye $224bn
  • Russia yao kwa mwaka 2023 inatarajiwa kuwa $84bn
  • Iran ni 24.3bn
  • North Korea wako kwenye $4bn

Yani ukijumlisha budget ya ulinzi ya China, Russia, Iran na N. Korea ndo kwa mbali itakaribia nusu ya budget ya US
Na sis huku ngoma ngumu wazee wa kupasua matofali kwa kutumia komwe bajet yetu ya ulinzi inafika ngap???
 
Halafu kuna mtu anafanya mchezo na China na kuleta kebehi za kitoto. China akishirikiana vizuri na Urusi, North Korea na IRAN there will be no more USA wala NATO alliance lazma itajifia tu.
China peke yake anatosha ....awamwezi kwenye vita hata ya kiuchumi ...kama china hiki kataa dola ya marekani basi nguvu ya ushawishi wa marekani na nato itaporomoka kwa asilimia 60% na uchumi wao pia ..... kijeshi pia china ipo vizuri hakuna nchi hapa duniani ya kuishinda ....huu ni ukweli mtupu kama unge waambia warusi kuchagua nchi ya kupigana nayo kati ya china na marekani basi bila hata ya kupepesa macho warusi wange chagua kupigana na marekani kuliko china.."vita visivyo usisha silaha za nuke "
Pia kuna watu wanadhani china ni waoga....kumbe ni uwezo wao mdogo wa kufikiri ndiyo unawafanya wadhani kuwa wachina ni waoga ila kile inacho kifanya china ni akili kubwa kuliko vita maana ushindi wa china siyo lazima vita kuishinda marekani mchina kagundua kuwa nguvu za kiuchumi na kijeshi ni silaha tosha hata asipo kupigana vita zitampatia ushindi na kila anacho kitaka kitatimia without war.
 
Back
Top Bottom