digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,908
- 14,405
Hapana..Na wewe unakubali unapoitwa na wachina kuwa wewe black ni inferior race?
Kwan viongoz Wetu wanashindwa nn kutuambia sisi tuanze kuwafanyia ka wanavyotufanyia Sisi huko kwao..
Yan Leo kilA mchina akipita natamani hata kumchota mitama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiitwa Nyani Unaridhika ?!Na wewe unakubali unapoitwa na wachina kuwa wewe black ni inferior race?
Ulaya ni China ndani ya NchiSidhani kama zako zinakutosha, tofauti unayoiona hapo ni ipi??
Kwafikra izi achatubaguliwe. Siwalaum kabisa wachina, sisi watu weusi ni MANYANI kabisa tuliokatwa mikiaHata wapinzani wanawashobokea mnoo...wote wanakimbilia huko ulaya kushitaki serikali zao. na kuombea mabaya ya kumbe mataifa yao.
Umasikini na njaa ndio tatizo.Sasa kwann serikali zenu za Afrika zinazidi kuwashobokea ?
..
Hawa wamepewa hongo na maadui wa china ili kuichafua .
tuweni makini na propaganda za west, china anipigwa mawe sana na maadui zake kwasababu ya uchumi wake.
"Maoni ya wachina wa Igunga"
Cc:------
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa macho madogo wakija kuupata huo usuper power, tutajutia kuwafahamu hua nawazia hawa wanaowashabikia hv wanawajua vzur nimara mia mzungu
Sent using Jamii Forums mobile app