Baadhi ya taarifa zitakazopatikana ni pamoja na umri wa kuku, eneo alilototolewa, umbali aliotembea kwa kila siku, kiwango cha uchafuzi wa hewa alichopata, kiwango cha maji alichokunywa, siku aliyochinjwa.“All info related to the chicken can be verified in the blockchain,” says Xuefeng Li, CTO of ZhongAn Technology, the tech incubator of the Chinese insurance company ZhongAn, which developed the technology.
yaani ninyi ndo wapinga kila kituuu huwa hatuelewi hata mnataka niniHahaha sisi tunajenga viwanda kwanza, unataka kutupoteza na ufugaji wa kuku huo.
Tanzania ya viwanda, sio Tanzania ya kuku.
Hahaha ndugu, kufuga hata kienyeji sisi hatuwezi, hatupingi tunajijua sisi wadanganyika huo ndio ukweli.yaani ninyi ndo wapinga kila kituuu huwa hatuelewi hata mnataka nini
mkuu siasa ni sehemu ya maisha usifanye kama ugonvi. mimi mwenyewe ni CHADEMA Ila wa dr SlaaHahaha ndugu, kufuga hata kienyeji sisi hatuwezi, hatupingi tunajijua sisi wadanganyika huo ndio ukweli.
Hahaha sasa hapo tumepinga nini?! Mlitaka nanyie mfuge tukakataa?! Nyie huwa mnatekeleza ILANI, kwani ufugaji huo wakuku huko kwenye ILANI?! Hahaha tekelezeni kama mnaweza ndugu hamjashikwa mikono na wapingaji.
Hahaha pole mimi ni mdanganyika tu sinaga vyama.mkuu siasa ni sehemu ya maisha usifanye kama ugonvi. mimi mwenyewe ni CHADEMA Ila wa dr Slaa
we unaonyesha ni kada wa chadema lowasa hahahahahHahaha pole mimi ni mdanganyika tu sinaga vyama.
Mimi ni mdanganyika mfia nchi hayo ya vyama unajua wewe. Usiogope kuwa tofauti na mimi hiyo ni nature imeamua iwe hivyo.we unaonyesha ni kada wa chadema lowasa hahahahah