Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,012
- 37,419
Akikujibu unitag MKUUUnamaanisha nini mkuu - juzi hapa si amerusha wana anga watatu kwenda kwenye space station yake watakaa huko kwa miezi mitatu, China ndio Taifa pekee Duniani ambalo limefanikiwa kutuma chombo mwezini kikatua upande wa pili wa mwezi ambao hauonekani Duniani - kinacho washangaza wana sayansi wa NASA na Warusi ni kule kufanikiwa kwa Wachina ku-maintain mawasiliano ya radio frequency 24X7 baina ya chombo na base stations za hapa Duniani kikatuma picha pamoja na video seamlessly!! Si Amerika wala Urusi walio wahi kufankisha kitu kama hicho, vyombo vyao vya anga vilipokuwa vinazubguja upande wa pili wa mwezi basi mawasiliano baina ya chombo na aridhi yanakatika mpaka chombo kinapo rudi upande wa pili unao onekana ukiwa aridhini/Duniani - cha kujiuliza hapa Wachina wakitumia mbinu gani kuwapiku wenzao?
Hilo la kwanza, la pili - mwishoni mwa mwaka jana chombo cha anga cha Wachina kiliganikiwa ku-land kwenye sayari ya MARS ambayo umbali wake kutoka aridhini ni makumi ya mamillion Kilometer kilituwa kwenye aridhi ya MARS, kikashusha mobile rover yenye magurudumu ikafanya tour sehemu mbali mbali,ikapima: composition za udogo,hali ya hewa,kupiga high resolution picha na video na kuzituma Duniani - kama unafikiri hilo in jambo dogo kisayansi na kitekinilojia you better think again.
La tatu lina husu jeshi la Uchina kumiliki makombora type ya hypersonic ambayo hata Merikani imekuwa mkweli kwa kusema hawana kinga yoyote ya kulinda Taifa lao dhidi ya makombora/missiles hizo hatarishi, ni mataifa mawili tu Duniani yenye kumiliki hypersonic missiles, nayo ni: ni Uchina na Urusi basi, Amerika inajitahidi kuunda za kwao lakini mpaka sasa hawaja fanikiwa, majaribio yao yote yame-fail, who knows may be watafanikiwa eventually.
Haya sasa tuje kwenye teknilojia ya mawasiliano na hapo Uchina imeyapiku mataifa ya magharibi kwenye nyanja za 5G technology, Wachina ndio wamefanikiwa kuunda a truly 5G stuff unlike mataifa mengine yanayo tinker around na 4G technology halafu wanazuga watu kwamba na hiyo 5G
technology lakini uki-check bit rate throughput unagunduwa kumbe ni dead slow compared na Chinese Huawei stuff, ndio maana Pompeo alilikuwa ana endesha kampeini ya ulaghai tu kwa kusingizia Huawei kwamba katika vifaa vyao vya mawasiliano wame-embed software za kudukuwa watumiaji, anatisha tisha Mataifa kwamba wasinunue equipment za mawasiliano zinazo undwa na Huawei - lengo likiwa kuihujumu China kiuchumi.
Kwa kumalizia - je,una habari kwamba Uchina ndilo Taifa linao ongoza Duniani kwa kuunda fastest super computer wametumia hardware zinazo zalishwa huko huko Uchina kuanzia: Microprocessor, Memories nk. Wachina wameunda Quantum Computers, Quantum radar zenye uwezo wa ku-identify Stealth bombers na fighters, hapo hatujagusia kuhusu maendeleo makubwa kwenye masuala ya teknilojia ya Artificial Intelligence (AI) hivi asa China imeipiku US na mataifa ya Ulaya kwenye teknilojia ya AI.Bottom line is: Hivi ni sekta hipi ambayo Wachina hawana uwezo wa kutoa ushindani. Wachina kitu ambacho hawafanyi ni kutambia mataifa mengine, kuvamia au kupiga mabomu Mataifa ambayo hawayapendi, kuchochea vurugu na ku-assassinate viongozi bila sababu zozote za msingi - Wachina hawana tabia hizo za kishenzi.
China huyu huyu alilabwa vikwazo na DT akawa analialia
USA atabaki kuwa super power kwasababu moja tuu hana adui,hawa unaowaona China,Irani,Rassia nk ni midoli yake ya kutudanganyia kuwaa anapambana
Unamaanisha nini mkuu - juzi hapa si amerusha wana anga watatu kwenda kwenye space station yake watakaa huko kwa miezi mitatu, China ndio Taifa pekee Duniani ambalo limefanikiwa kutuma chombo mwezini kikatua upande wa pili wa mwezi ambao hauonekani Duniani - kinacho washangaza wana sayansi wa NASA na Warusi ni kule kufanikiwa kwa Wachina ku-maintain mawasiliano ya radio frequency 24X7 baina ya chombo na base stations za hapa Duniani kikatuma picha pamoja na video seamlessly!! Si Amerika wala Urusi walio wahi kufankisha kitu kama hicho, vyombo vyao vya anga vilipokuwa vinazubguja upande wa pili wa mwezi basi mawasiliano baina ya chombo na aridhi yanakatika mpaka chombo kinapo rudi upande wa pili unao onekana ukiwa aridhini/Duniani - cha kujiuliza hapa Wachina wakitumia mbinu gani kuwapiku wenzao?
Hilo la kwanza, la pili - mwishoni mwa mwaka jana chombo cha anga cha Wachina kiliganikiwa ku-land kwenye sayari ya MARS ambayo umbali wake kutoka aridhini ni makumi ya mamillion Kilometer kilituwa kwenye aridhi ya MARS, kikashusha mobile rover yenye magurudumu ikafanya tour sehemu mbali mbali,ikapima: composition za udogo,hali ya hewa,kupiga high resolution picha na video na kuzituma Duniani - kama unafikiri hilo in jambo dogo kisayansi na kitekinilojia you better think again.
La tatu lina husu jeshi la Uchina kumiliki makombora type ya hypersonic ambayo hata Merikani imekuwa mkweli kwa kusema hawana kinga yoyote ya kulinda Taifa lao dhidi ya makombora/missiles hizo hatarishi, ni mataifa mawili tu Duniani yenye kumiliki hypersonic missiles, nayo ni: ni Uchina na Urusi basi, Amerika inajitahidi kuunda za kwao lakini mpaka sasa hawaja fanikiwa, majaribio yao yote yame-fail, who knows may be watafanikiwa eventually.
Haya sasa tuje kwenye teknilojia ya mawasiliano na hapo Uchina imeyapiku mataifa ya magharibi kwenye nyanja za 5G technology, Wachina ndio wamefanikiwa kuunda a truly 5G stuff unlike mataifa mengine yanayo tinker around na 4G technology halafu wanazuga watu kwamba na hiyo 5G
technology lakini uki-check bit rate throughput unagunduwa kumbe ni dead slow compared na Chinese Huawei stuff, ndio maana Pompeo alilikuwa ana endesha kampeini ya ulaghai tu kwa kusingizia Huawei kwamba katika vifaa vyao vya mawasiliano wame-embed software za kudukuwa watumiaji, anatisha tisha Mataifa kwamba wasinunue equipment za mawasiliano zinazo undwa na Huawei - lengo likiwa kuihujumu China kiuchumi.
Kwa kumalizia - je,una habari kwamba Uchina ndilo Taifa linao ongoza Duniani kwa kuunda fastest super computer wametumia hardware zinazo zalishwa huko huko Uchina kuanzia: Microprocessor, Memories nk. Wachina wameunda Quantum Computers, Quantum radar zenye uwezo wa ku-identify Stealth bombers na fighters, hapo hatujagusia kuhusu maendeleo makubwa kwenye masuala ya teknilojia ya Artificial Intelligence (AI) hivi asa China imeipiku US na mataifa ya Ulaya kwenye teknilojia ya AI.Bottom line is: Hivi ni sekta hipi ambayo Wachina hawana uwezo wa kutoa ushindani. Wachina kitu ambacho hawafanyi ni kutambia mataifa mengine, kuvamia au kupiga mabomu Mataifa ambayo hawayapendi, kuchochea vurugu na ku-assassinate viongozi bila sababu zozote za msingi - Wachina hawana tabia hizo za kishenzi.
Nimejitahidi kusoma kuhusu ( PPP's) Mzee Hunijui sikujui unakosea unawajaza watu maarifa ambayo hayana ukweli
Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app
Jumla wamekopesha bei gani?tuanzie hapo.inawezekana umekopesha wengi lakini kuna mwenzio amekopesha nchi nusu yako ila kakopesha fedha mara 5 yako.China mwaka 2021 bimaana mwaka huu mwezi wa pili imetangazwa kuwa ni taifa pekee lililokopesha mataifa mengi duniani.
Bank kuu ya China imekopesha mataifa 138 na kusamehe madeni mataifa 38.
Hivi tujadiliane jamani kiuchumi hii imekaaje?
Hivi kuna atayempiku huyu jamaa kweli?
Kaka natamani niweze kushare hyo video ila nashindwa ni habari ya Aljazeera world news.Jumla wamekopesha bei gani?tuanzie hapo.inawezekana umekopesha wengi lakini kuna mwenzio amekopesha nchi nusu yako ila kakopesha fedha mara 5 yako.
BTW,nilisikia China ibakuja kasi ya hatari.na kitu kimoja inajivunia ni pamoja na soko la ndani pia
Sasa mbona Cuba wanalia njaa kila siku maandamanoKaka China ana influence kubwa ktk dunia kwasasa.
Anglia Africa na Asia ambapo ndipo population ya dunia imeelemea hakuna nchi inayosema no kwa China.
Pia hata nchi ikiwekewa vikwazo nchi pekee ya kusimama nayo ni China.
Mathalan Cuba ilipoekewa vikwazo taifa pekee iliyoisaidia Cuba mpk kiuchumi ni China.
Hiyo imefanya mataifa mengi yaona kuna mkono wa kuuegemea tofauti na Marekani.
Viongozi wa asili ya kilatini wana matatizo sana.Sasa mbona Cuba wanalia njaa kila siku maandamano
Mchina kamwe hawezi kumpiku Marekani kwasababu hata uchumi wake umeshishwa na Rothschild family, Rothschild ndiye anae control Us na mataifa mengine.
Duh kweli watu tupunguze kukaa vijiwe vya kahawa za mbilimbiliMchina kamwe hawezi kumpiku Marekani kwasababu hata uchumi wake umeshishwa na Rothschild family, Rothschild ndiye anae control Us na mataifa mengine.
Usilo lijua ni kama usiku wa giza, Pale china kuna Familia inajulikana kama Li Family unaweza kufatilia na kuona namna gani mambo yanavyo endeshwa.achana na story za vijiweni mdogo wangu
Hilo jeshi la china zaidi ya kupeleka personnel kule korea miaka hiyo operesheni gani ngumu ashawahi kwenda!? Tunaona usa alivo na mioparesheni pembe zote za duniaUchumi wa China mkubwa kaka.
Ukitaka kujua China ina economic stability IMF mwaka jana kipindi corona inashamiri walitoa ripoti Kuwa hakuna taifa ambalo halijatetereka kiuchumi lakin taifa pekee ambalo limeweza bado kuusimamisha uchumi wake ni China.
Kijeshi China sio wa kawaida tena hata kiteknolojia na kisiasa usipime.
Njia gan mkuuInfluence yake itakuwa na mashiko akifanikiwa kuexport lugha na utamaduni wake, ama sivyo nawaona china wakielekea njia aliyopitia Japan.
We jamaa hizo operation US anazoshiriki chache sana anatumia askari wake nyingi anafadhili silaha.Hilo jeshi la china zaidi ya kupeleka personnel kule korea miaka hiyo operesheni gani ngumu ashawahi kwenda!? Tunaona usa alivo na mioparesheni pembe zote za dunia
Kwa sababu hana uchumi imara na anafanya hivyo Ili kuendelea kukuza uchumi hasa exportsmatumizi ya dola ndio yanafanya vikwazo vinakua vikali ila china hataki yuan iende kimataifa kama dola na hua anaishusha thamani yake kila kukicha, china ndio nchi pekee haiwezi kuwekewa vikwazo na marekani kwasababu ina uchumi mkubwa kuliko wa marekani
Haiwezekani,anategemea exports zaidi kuliko huko ndaniOfcoz wasenge wale kwanza population yao tu ni soko kubwa sana, kama wakiamua kutumia protectionism policy
Sawa wao si waliwahi ku contain virusi tofauti na nchi nyingine zilikuwa zinajivuta na kupiga siasaUchumi wa China mkubwa kaka.
Ukitaka kujua China ina economic stability IMF mwaka jana kipindi corona inashamiri walitoa ripoti Kuwa hakuna taifa ambalo halijatetereka kiuchumi lakin taifa pekee ambalo limeweza bado kuusimamisha uchumi wake ni China.
Kijeshi China sio wa kawaida tena hata kiteknolojia na kisiasa usipime.
Sababu kubwa productivity kuwa kubwa inayochangiwa na relatively cheap labour ukilinganishwa na developed countries.Umeleta maada ambayo imenifunza kitu kipya
S=p in currency 1/p in currency 2 simple math
Kwa maana fupi wachina wananunua bidhaa Kwa bei rahisi Kwa bidhaa hio hio ambayo USA inanunuliwa ghali ila sio uchumi wao ni mkubwa View attachment 1886657
Sent from my SH-04H using JamiiForums mobile app