China inaua Waislamu na dunia ipo kimya

Kumbe unajua maisha yalivyo na ndiyo maana nikasema huyo mwenyewe lakini kalala jela ila masikini sijawahi kulala huko,sasa wewe uliposema ukiwa na hela sijui hakuna wa kukusumbua ulisahau kuwa maisha hayana guarantee?
ni wapi nimetumia hiyo kauli ya kwamba ni guarantee kuwa ukiwa & pesa hakuna wa kukusumbua??
 
Daah nimecheka hahahahhh wew jamaa umepinda sana
 
The kind and alike is not part of their tradition if china saw there ppssibility of danger alert brought by new culture is better to ban
 
Kila mtu ana uhuru wa kuabudu na wao kama wameamua hivyo let it be hatupo hapa kuamua ila mawazo tu
Mambo ya uhuru wa kuabudu ni upuuzi, maana kuna watu hawaheshimu huo uhuru wa kuabudu nchini kwao, halafu wao ndio wa kwanza kupiga kelele kuudai wakiwa nchi za wengine, dawa iliyopo ni kutoruhusu kuabudu kabisa...China wanafanya jambo la maana sana
 
Mambo ya uhuru wa kuabudu ni upuuzi, maana kuna watu hawaheshimu huo uhuru wa kuabudu nchini kwao, halafu wao ndio wa kwanza kupiga kelele kuudai wakiwa nchi za wengine, dawa iliyopo ni kutoruhusu kuabudu kabisa...China wanafanya jambo la maana sana
Hao waliopo China ni wachina wazawa na kupiga marufuku dini haujaanza leo huko China tangu enzi za Mao Zedong
Nimeona wachina waislam na wakristo na Buddha
Miaka ya zamani walichoma vitabu vya dini zote ili walete maendeleo na hizo zilikuwa fikra za kijamaa, huu ni muendelezo tu wa kutokuwa na dini
Sipingani na hoja yako ila nakumbuka sana miaka hiyo
 
Ujamaa ni Dini pia
 
Hahaha
 
Hiyo safi sana hahaa
 
Umesema vyema sana "
 
ukishakua na pesa dunia hii hakuna wa kukubabaisha kamwe!
Rugemalila na singasinga walikuwa na hela mpaka nyingine wakawa wanazitoa sadakalawe lkn Leo hii wanachakaa kwenye shimo la tewa dadeki, pisa sio kila kitu ukileta fujo na hela yako watu wanakuchakaza.
 
Unaposema sheria za kipumbavu tayari umeonesha kiwango cha chuki ndani yako dhidi ya unaowaongelea na umeonesha ukomo wa busara zako

Epuke kujifanya neutral afu mwishoni unajisahau unaonesha upande ulipo

Pia niambie dini ambayo wakikusanyika hawapigi kelele
 
Na wakisumbuliwa kwenye nchi zao sehemu ya kwanza kukimbilia ni kwa "makafir",Ulaya na America especially, USA and Canada.
Wakifika huko na kukaribishwa wanaanza kulipua Miundombinu na raia wa huko.
Na kutaka nako kuwe na Sharia za kiislamu, Sharia hizo hizo ambazo zimewakimbiza kwao.
Yaani wanakimbia ugonjwa nchini mwao na wakifika kusiko na ugonjwa wanaanza kuueneza ugonjwa huohuo uli uwaambukize na wenyeji wao.
Sijui Kama wanapata mda wa kujitafakari.
Zaidi naona wanawanyooshea vidole vya lawama wengine hata Kama wao ndio wasababishaji.
Unakimbia Sharia za Kiislamu ukifika huko unataka ueneze Uislamu na utumie Sharia zilezile zilizo haribu huko kwako.
Hebu pateni muda wa kujitafakari.
Kama sharia ni nzuri jaribu kuzitumia hapo nyumbani kwako na familia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…