Leslie Mbena
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 207
- 678
CHINA IMEISHINDA CORONA.
Leo 12:15pm 05/04/2020
Kirusi cha corona kimeshindwa na kimetoweka China,hata sasa ligi zilizosimama za mpira wa miguu zinafikiriwa kwenda kumaliziwa katika Jiji la Beijing au Shanghai nchini China.
Kabla ya kuendelea nikukumbushe juu ya uumbaji wa Mwanadamu, Mwanzo 2:7 " Basi Mwenyezi Mungu akamfanya Mwanamume kwa mavumbi ya udongo,akampulizia puani pumzi ya uhai,na huyo Mwanaume akawa kiumbe hai"
Kwa neno hili naomba nikwambie ndugu yangu hii vita si yako ni ya Mwenyezi Mungu,kwa kuwa inagusa uumbaji wake, hiki kirusi cha corona kinakwenda kuharibu mfumo wa hewa ambao Mungu aliutengeneza alipomuumba Adam na kumpulizia puani pumzi ya Uhai.
Mungu akisema ewe corona toweka juu ya uso wa dunia, corona inatoweka,kama Mungu alivyowaambia Waisrael ,kutoka 14:13 "Musa akawaambia Waisreal,Msiogope kaeni imara,Leo mtaona jinsi Mwenyezi Mungu atakavyo waokoa,Maana hawa Wamisri mnaowaona Leo hamtawaona tena".
Tunae Nabii pekee aliyetamka kama Nabii Musa alivyotamka,Nabii T.b Joshua alisema "corona itaondoka baada ya mvua kunyesha kwa kuwa hakuna dawa iliyoileta wala itakayoondoa Ugonjwa huo,Imani yenu kwa Mungu isishindwe kwa maana Mwenyezi Mungu ameshauondoa Ugonjwa wa corona katika uso wa dunia,
Ni sawa na kuzima moto unabaki Moshi kwa kitambo kidogo" tumeona China imeshinda vita vya corona baada ya Mvua kubwa kunyesha katika jiji la Wuhan,The cause of Crisis was defeated,Hii ni ishara kwamba Mungu ameshauzima ugonjwa wa corona katika uso wa dunia, umebaki Moshi wake tu.
Kirusi cha corona kililipukia katika jiji la Wuhan na Hubei kilomita 629 kutoka Shanghai na kilomita 1052 kutoka Beijing,
Wagonjwa 81,639 walibainika,wagonjwa 3,326 walifariki na wagonjwa 76,755 walipona kabisa na sasa hakuna kabisa wagonjwa wapya,Mji wa Wuhan na Mkoa wa Hubei ndio uliokuwa karantini lakini Beijing na Shanghai shughuli ziliendelea kama kawaida japo kwa tahadhari kubwa.
Serikali ya China pamoja wa wataalamu wa matibabu waliingia kazini kutafuta chimbuko la mlipuko wa kirusi cha corona, Ikiwa ni pamoja na utambuzi wa binadamu wa kwanza aliyepata ugonjwa wa corona.
Utafiti huo ulisaidia kuelezea jinsi binadamu alivyoupata na namna ya kujikinga na kukitokomeza kirusi cha corona.
Hii imesaidia kukishinda kirusi cha corona na kuwakinga watu zaidi dhidi ya maambukizi kwa wakati huu na magonjwa mengine ya mlipuko siku zijazo.
Serikali ya China awali iliripoti kisa cha kwanza cha kirusi cha corona mnamo Disemba 31 na visa vingi vilionesha dalili zinazokaribiana na homa ya mapafu - ambavyo moja kwa moja vilihusishwa na vyakula vya baharini na soko ya nyama katika mji wa Wuhan, ulipo mkoa wa Hubei lakini baadae utafiti ulibainisha mgonjwa wa kwanza kupatikana mnamo desemba 1 mwaka 2020.
Rais wa Marekani, Donald Trump alimpigia simu kumpongeza Rais wa China kwa kufanya juhudi za kukabiliana na kuushinda ugonjwa wa Corona, hasa kwa kuchukuwa hatua madhubuti za kuangamiza ugonjwa wa Corona.
Katika mazungumzo kwa njia ya simu, rais wa China Xi Jinping amemuhakikishia Rais wa Marekani Donald Trump kwamba China itatokomeza ugonjwa hatari wa Corona kwa kuwa China ina imani kamili kuhusu uwezo wake wa kuliangamiza janga hilo la Dunia.
-Ilipoferi Kenya,Uganda na Afrika Kusini.
Nilimsikiliza Mkenya mmoja akiisema Tanzania eti kwa nini Tanzania haijawaweka watu wake karantini kama Kenya!
Watanzania wengi wakaanza kuucheza ule mziki wa mkenya yule utadhani wakenya ni wakoloni wetu,Nimweleze yule Mkenya, We Tanzanians are not cowards,Wewe Mkenya unapozama kwenye maji usitake kutuambia na sisi tunazama wakati tupo nchi kavu,
Sisi ni watu thabiti,tunajua athari za kiuchumi utapofungia watu ndani,hatuwezi kurudia ya mwaka 1979 kwenye Vita vya Uganda huku Wakenya mkijiimarisha kiuchumi,tuna imani imara kwa Mungu wetu na ndio maana Neema ya Mungu ipo juu ya nchi yetu ya Tanzania ikiwa hata sasa wagonjwa wa corona wako 20 tu.
Tanzania ina watu Milioni 60 halafu wagonjwa 20 watufanye tufungie watu ndani,China ilipata wagonjwa 80,000 na haikufungia watu ndani zaidi ya mji wa Wuhani na Mkoa wa hubei uliokuwa chini ya uchunguzi.
-Tafsiri ya kufungia watu ndani.
Ni Kuwaambia masikini wakae ndani wabaki Majumbani Wakati hawana makazi maalum huku wakitegemea kipato cha kila siku kuendesha maisha yao.
Watu wengi wana vyumba vya kujisitiri lakini hakika ya kula yao Ni Lazima watoke kwenda kuhemea.
Ukifungia ndani watu wa nchi yako ni sawa na kuufungia ndani Uchumi wa nchi yako,ni sawa na kuupiga ganzi Uchumi wako,rejea Marekani ambapo ajira 10,000 zimepotea ndani ya mwezi Machi,
Hii itaisababishi balaa kubwa nchi ya Marekani hasa ikapelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu,ni vyema kuruhusu watu kurudi kazini wakachape kazi ila wachukue tahadhari zote za kiafya kuupiga vita ugonjwa wa corona ulio hewani ambao hauwezekani kuzuiwa kwa kufungia watu ndani.
Viongozi wengi Afrika, kwa kuwaiga wakubwa, wamejikuta wakiingia kwenye mtego wa kuzifunga nchi zao ( Lockdown) bila kuwa na mipango thabiti ya namna ya watakavyowasaidia raia wao wengi wenye hali duni.
Wahenga walisema; Usimuige tembo kwa kila kitu.
Afrika Kusini ina watu 200, 000 wasio na makazi. Wengi wao wako Johannesburg.
Kufunga nchi kwa maana ya kusimamisha shughuli za kiuchumi ni moja ya hatua za kukabiliana na kuenea kwa maambukizi ya Corona.
Hata hivyo, hatua hiyo inataka umakini mkubwa. Na kuna nchi zimeharakisha kwenda kwenye hatua hiyo na kusababisha athari zaidi kwa watu wake.
Modeli ya Tanzania bado inafanya kazi na hadi sasa imeepusha athari zaidi za kiuchumi na kijamii. Kwa kasi ndogo ya sasa ya maambukizi, inachohitaji Tanzania baada ya kudhibiti viwanja vya ndege, ni kudhibiti mipaka ya nchi kavu na majini na huku ikiongeza nguvu kwenye elimu ya umma.
Itapofika wakati wa kulazimika kufunga nchi, umma utakuwa pia na uelewa zaidi,Shukrani brother Maggid Mjengwa kwa kuendelea kutoa uelewa na ufahamu kila siku katika makala zako.
-Nadharia ya Cashless society after lockdown,Jamii isiyo na hela baada ya karantini.
Nimejaribu kufanya research yangu nimegundua hawa virus are not exist in nature maana yake they are Man-Made;
Kwa nini nasema hivi,Naona nchi zingine wanatumia dawa za Malaria wagonjwa wanapona,Mnigeria kaniambia wao wanatumia kola juice,wengine wanatumia ndimu au limao kwenye glass ya maji ya vuguvugu,
Wito wangu ili janga watalaam wetu watafute njia mbadala kutoka na taaluma zao kuwasaidia watanzania sio kusubiri kutoka ulaya.
Ukichunguza nchi zingine ambazo wametangaza karantini kwa Wananchi wao lakini bado mafundi wa speed ya mtandao 5G networks(installation) wanaendelea na kazi kama kawaida bila wasi wasi wowote,
Tuchape kazi ndugu zangu,kama kuuna kitu tunafichwa na wazungu kuhusu "covid-19 na 5G"
Vijana wenzangu tufanye research wenyewe kuna habari kubwa tutapa kuhusu hii "wicked agenda na hili pepo la corona".
Nampongeza Rais wa Tanzania,John Pombe Magufuli kwa njia anazochukua bila kuumiza uchumi wetu na watanzania kwa jumla.
Modeli Ya Tanzania..
- Kupima, Kufuatilia, Karantini
- Kuelimisha umma na kutofunga shughuli za kiuchumi
- Watafiti wameanza kuumiza vichwa kujua inakuwaje modeli hii mpaka sasa imeweza kufanya kazi
Hongera Tanzania,
Modeli ya Tanzania bado inafanya kazi na hadi sasa imeepusha athari zaidi za kiuchumi na kijamii.
Kwanini Tanzania imefanikiwa mpaka sasa?
Nchi ina historia ya kupitia changamoto za majanga na hata vita. Yote hayo yamehitaji umma kupewa elimu na kuhamasishwa kushiriki mapambano dhidi ya majanga na hata vita.
Nchi ina historia pia ya kujiandaa na kuandaa umma kabla majanga hayajaingia. Ebola ni mfano mmoja. Maeneo ya mipakani na viwanja vya ndege Tanzania ilijipanga kwa kujenga ngome ya kujihami.
Nchi ina historia ya mfumo wa kiulinzi wa jumla- Total Defence. Kwamba kila mmoja anachukua jukumu la kuihami nchi. Kama kuna mwenye kushukiwa, kuwa na dalili za kuwa na virusi au mgonjwa na hatoi ushirikiano kwenye vyombo husika, Watanzania kwa desturi watachukua wenyewe jukumu la kumripoti mtu kama huyo.
Na mifumo yetu ya kuwa na uwakilishi wa Wajumbe wa Nyumba Kumi bado inafanya kazi kuweza kuwabaini washukiwa wanaojificha ikiwamo wageni wenye kuingia bila kupitia taratibu.
Kwa kasi ndogo ya sasa ya maambukizi, inachohitaji Tanzania baada ya kudhibiti viwanja vya ndege, ni kudhibiti mipaka ya nchi kavu na majini na huku ikiongeza nguvu kwenye elimu ya umma.
Mbali ya umma kuendelea kuhamasishwa kunawa mikono kwa sabuni na kuepuka mikusanyiko, Umma ukingwe pia na elimu na taarifa potofu ikiwamo yale yenye kuelekeza jamii kwenye kuamini abrakadabra.
Na itakapofika wakati wa kulazimika kufunga nchi, kupitia elimu inayotolewa na maandalizi, umma utakuwa pia na uelewa zaidi wa hatua hizo.
Na ama hakika Corona ni janga. Watu wa dunia wanashirikiana kupambana nalo. Na kila nchi, kulingana na mazingira yake , inatafuta njia zake kwenye kupambana nalo.
Tujifunze pia kutokana na changamoto wanazopata nchi nyingi zilizochagua njia za kutaka watu wabaki majumbani na hivyo kusimamisha Shughuli za kiuchumi. Kwenye kutekeleza hayo, tumeona, kuwa jeshi na polisi pia vinatumika. Hali hii inaweza hata kupelekea uwepo wa tatizo jipya la wakimbizi wa ndani. Tumeona watu wakikimbia mijini kwenda vijijini.
Hapa kwetu, na kama nchi, njia tuliyochagua kuifuata ni sahihi kwa kuanzia. Hatujafikia hali ya kuwataka watu wetu wabaki majumbani.
Maana, amri ya Rais wetu kuwataka wageni wote kuwekwa karantini kwa siku 14, kwa gharama zao, ni sahihi. Ni kwa vile, kwetu waliobainika kuwa na virusi vya Corona bado kwa rekodi wametokea nje ya mipaka , au, kuwa na mwingiliano na waliotoka nje.
Hivyo, tusubiri sasa kuona mwelekeo wa maambukizi. Na siku 14 baada ya amri ya Rais wetu kuanza kutekelezwa, itatupa nafasi ya kuanza kuona mwelekeo wa upepo huu wa maambukizi ya Corona unavyovuma.
Na hakika, Watanzania kwa jinsi walivyo. Unapowaelimisha madhara ya jambo fulani, nao wakaelewa, basi, watatekeleza mara tatu na ulivyotarajia.
Ukweli, tangu Vita Vya Kagera, kwa tuliokuwepo, sijapata kushuhudia Watanzania wanavyoitikia wito wa mapambano kama haya ya Corona.
Hakika, haijatokea kuwaona Watanzania wakihamasika kama tulivyohamasika sasa.
Nimalizie kwa neno la Mungu,Mwanzo 2:7 " Basi Mwenyezi Mungu akamfanya Mwanamume kwa mavumbi ya udongo,akampulizia puani pumzi ya uhai,na huyo Mwanaume akawa kiumbe hai" kwa neno hili naomba nikwambie ndugu yangu hii vita si yako ni ya Mwenyezi Mungu,kwa kuwa inagusa uumbaji wake, hiki kirusi cha corona kinakwenda kuharibu mfumo wa hewa ambao Mungu aliutengeneza alipomuumba Adam na kumpulizia puani pumzi ya Uhai.

Tunae Nabii pekee aliyetamka kama Nabii Musa alivyotamka,Nabii T.b Joshua alisema "corona itaondoka baada ya mvua kunyesha kwa kuwa hakuna dawa iliyokileta wala kukiondoa,Imani yenu kwa Mungu isishindwe" tumeona China imeshinda vita vya corona baada ya Mvua kubwa kunyesha katika jiji la Wuhan,The cause of Crisis was defeated.
Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854