Alipoingia Mwinyi alikopa wee akaiacha nchi katika hali ngumu kabisa. Uchumi ukaporomoka na thamani ya pesa ikawa kwisha kabisa.
Mkapa akaja akalipa weeeee, akapambana kupandisha uchumi wa nchi weee, akaimarisha thamani ya pesa na kuzuia mfumuko wa bei.
Sasa amekuja Kikwete mwendo ni uleule kama wa Mwinyi, kopa weeee, didimiza uchumi wa nchi weee, tia umasikini nchi na shusha thamani ya hela.
Raisi atakayekuja atafanya kazi ya kulipa madeni na kupandisha uchumi. Hapo tunapima performance ya wakristo na waislamu, ni kama Republican na Democratic.
Mwingine kazi yake kukusanya, mwingine kazi yake kutumia.
Tutaendelea kweli?