Wachina ni wazee wa kucopy, hadi wameenda mbali zaidi mpaka kukcopy miji mashughulli ya Ulaya. Jumla wamejenga miji kumi na moja nje kidogo ya mji wa Shanghai lengo lilikuwa matajiri wa China ambao wanapenda kuishi Ulaya wasiende Ulaya bali wachague copy ya mji wanaopenda China waishi hapo.
Ila project zote zilifail maana kwa sasa hakuna wanaoishi katika miji hiyo zaidi ya kukuta maharusi waipiga picha baada ya kufunga ndoa. Walisahau kwamba si majengo na mpangilio wa miji unaowafanya watu watake kwenda miji fulani, pia watu ni muhimu.
Copy ya Paris
Usidhani hapa ni Paris, bali ni copy ya mpangilio na majengo ya Paris mpaka mnara.
London
hii siyo ondon bali ni copy ya mji wa london China