Ni kama vile waafrika hatujitambui kabisa.
Nashangaa eti wachina wanaruhusiwa kuendesha michezo ya kamari hadi vijijini ndanindani huko!
Serikali ngazi zote zipo.
Aaaaaah.
Bila shaka kwa mfano huo washatuona bure kabisa. Hawatasita kubuni makubwa zaidi.
Hebu na tuongeze maono na malengo yetu kwa kuangalia miaka 100 ijayo.
Huenda tunaangalia tu umbali sawa na umri wetu au miaka iliyobaki kabla hatujaondoka duniani.
Wenye mamlaka mbalimbali mnajali?