Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
Nyie ndo team ushogaMjapan pekee anamtosha Mchina, USA huko ni mbali..
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mataifa yanayoendeshwa ki capitalist na ki communist, yaani izo ni dunia mbili tofauti... sema bahati mbaya tulishalaaniwa hatujui kinachoendelea kwene izi dunia mbili, hata historia hatuzifunzi.
Kwa kifupi tukumbushane tu kwamba hakuna usawa kwene ubepari ndo mana kwa kipindi kirefu watu weusi tulitumika kama wanyama kipindi cha utumwa, rasilimali zetu zilichukuliwa za kutosha, pamoja na kujaaliwa rasilimali ila bado standard ya maisha yetu ni tatizo, mpaka kesho jamaa wametufanya watumwa kwa biashara zisizo na usawa... bahati mbaya tunaona sawa tu.
Kipindi ichi kimetudhihirishia kwamba hao unaowaita wakubwa hawajitoshelezi kwa mambo mengi, na kama unakumbuka moja ya sababu za kufanya watawale mataifa mengine ilikuwa ni kuishiwa rasilimali kwene maeneo, ko mpango wao haujafika kikomo kwa sababu bado wanahitaji kuishi kwa mifumo yao ya kunyonya wengine.
Asia (china na rusia) ni sehemu wanazozitolea macho kwa kipindi, iyo migogoro ni beyond tunavoiona... embu hata kama tumepumbazwa na hatuna uwezo wa kujinasua kwene huu utumwa, basi tujaribu kureason kidogo kabla ya kushabikia majitu yanayotutesa enzi na enzi... inakera sana
1. U.S.A anamuunga mkono ROC kwenye nini ?HABARI za majukumu wana jukwaa
naingia ulingoni kama ifuatavyo:
Mwanzoni mwa operetion ya urusi pale Ukraine nchi za magharibi zilijibu kwa kuweka vikwazo vizito dhidi ya russia
ili kuhakikisha vikwanzo vinamuingia kisawa sawa nchi za magharibi zikashinikiza hadi washirika wa russia nao walaani uvamizi huo wa Russia
wakaanza na India india akalaani na kupunguza kwa sehemu ushirikiano na Russia
akaja kwa CHINA. akaambiwa tunakutegemea wewe kama mshirika mkubwa wa russia kama huwezi kulaani basi unga mkono Vikwazo vya west dhid ya russia.
sote tunajua
China alikataaa na kama haitoshi akatangaza ushirikiano usio na kikomo na russia na kuthibitisha hilo wakaingia mikataba minono tena ya kimkakati na russia.
USA akaonya weee mwisho akasema fresh
asie sikia la mkuu.
kwanza wakaanza kumpunguzia CHINA ushawishi wa kikanda hasa kanda ya indo pasifiki.
wakaamua kumzalilisha kwa Kuiunga mkono TAIWAN kwa kumpeleka speaker pelos huku wakikejeli reaction alizo tumia mchina kujibu uchokoz huo.
Wakati mchina alipo dhani mikwara ya kutupa mabom utaitisha USA ndo kwanza Akaweka petrol kwenye moto.
USA akasubiri hadi hasira za china ziishe. zilipo pungua wakapeleka Congress taiwan. china akafura tena.
USA Akasubir amalize Leo wawakilishi toka JAPAN nao wakaingia na juz INDIA nao wakafufua mgogoro wao wa mpaka na china.
narudia Tena ASIE SIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU inshu ilikua ndogo tu CHINA alitakiwa kulaani uvamiz hilo tu.
Now asira za CHINA zikiisha wanaume wanatangaza uhuru.
hapo hutakua na mtu kukupa msaada ikitokea vita dhid yako
SOMO.
kama umekaa ukiona mkubwa kasimama Mpishe akae.
Lakini ukumbuke India na china ni mahasimu wa mda mrefu. Na uhasama umetengeneza na USA ili wasielewane Mchina na MhindiIndia lini alikubaliana na West Sasa hivi mafuta India yako Bei ya chini.
Kabla ya kuandika muwe mnafanya tafiti.
Swala hapa ni India na Mrusi mtoa mada kasema China anaadhibiwa sababu amekataa kuwaunga mkono Us na NATO kwenye ishu ya Ukraine wakati mwenzake India anapeta.Lakini ukumbuke India na china ni mahasimu wa mda mrefu. Na uhasama umetengeneza na USA ili wasielewane Mchina na Mhindi
Huu ndo ukweli mchungu kwetu. Make Leo viongozi wetu ni wezi wakubwa na wanatuibia na kwenda kuficha hela huko kwao. Hawana uchungu na maisha ya wananchi. Elimu yet hawataki kuifanyia mabadiliko. Huduma za jamii kamaAfrica tunateswa na ubongo wetu wenyewe
Ufisadi, uroho wa madaraka na uchawi.
uzalendo ni sifuri Bongo za viongizi wetu zimeoza.
Sijakataa ndugu yangu. Kwenye huu mgogoro wa china na Taiwan. USA amefanikiwa kutengeneza maadui wanaomzunguka Mchina. Issue yangu Iko hapo.Swala hapa ni India na Mrusi mtoa mada kasema China anaadhibiwa sababu amekataa kuwaunga mkono Us na NATO kwenye ishu ya Ukraine wakati mwenzake India anapeta.
Taarifa yake siyo ya kweli kwani India na Mrusi wanafanya biashara kubwa na tayari wanatumia mfumo wao wa malipo
Hao maadui hawaja tengenezwa na U.S.ASijakataa ndugu yangu. Kwenye huu mgogoro wa china na Taiwan. USA amefanikiwa kutengeneza maadui wanaomzunguka Mchina. Issue yangu Iko hapo.
Uzi wa kijinga kabisaHABARI za majukumu wana jukwaa
naingia ulingoni kama ifuatavyo:
Mwanzoni mwa operetion ya urusi pale Ukraine nchi za magharibi zilijibu kwa kuweka vikwazo vizito dhidi ya russia
ili kuhakikisha vikwanzo vinamuingia kisawa sawa nchi za magharibi zikashinikiza hadi washirika wa russia nao walaani uvamizi huo wa Russia
wakaanza na India india akalaani na kupunguza kwa sehemu ushirikiano na Russia
akaja kwa CHINA. akaambiwa tunakutegemea wewe kama mshirika mkubwa wa russia kama huwezi kulaani basi unga mkono Vikwazo vya west dhid ya russia.
sote tunajua
China alikataaa na kama haitoshi akatangaza ushirikiano usio na kikomo na russia na kuthibitisha hilo wakaingia mikataba minono tena ya kimkakati na russia.
USA akaonya weee mwisho akasema fresh
asie sikia la mkuu.
kwanza wakaanza kumpunguzia CHINA ushawishi wa kikanda hasa kanda ya indo pasifiki.
wakaamua kumzalilisha kwa Kuiunga mkono TAIWAN kwa kumpeleka speaker pelos huku wakikejeli reaction alizo tumia mchina kujibu uchokoz huo.
Wakati mchina alipo dhani mikwara ya kutupa mabom utaitisha USA ndo kwanza Akaweka petrol kwenye moto.
USA akasubiri hadi hasira za china ziishe. zilipo pungua wakapeleka Congress taiwan. china akafura tena.
USA Akasubir amalize Leo wawakilishi toka JAPAN nao wakaingia na juz INDIA nao wakafufua mgogoro wao wa mpaka na china.
narudia Tena ASIE SIKIA LA MKUU HUVUNJIKA GUU inshu ilikua ndogo tu CHINA alitakiwa kulaani uvamiz hilo tu.
Now asira za CHINA zikiisha wanaume wanatangaza uhuru.
hapo hutakua na mtu kukupa msaada ikitokea vita dhid yako
SOMO.
kama umekaa ukiona mkubwa kasimama Mpishe akae.
Swala hapa ni India na Mrusi mtoa mada kasema China anaadhibiwa sababu amekataa kuwaunga mkono Us na NATO kwenye ishu ya Ukraine wakati mwenzake India anapeta.
Taarifa yake siyo ya kweli kwani India na Mrusi wanafanya biashara kubwa na tayari wanatumia mfumo wao wa malipo
Nani kawatengeneza Sasa?Hao maadui hawaja tengenezwa na U.S.A
Hao wana migogoro yao na PRC tokea muda sana na imesababishwa na wao kwa wao na wala sio U.S.A . Ila U.S.A anacho fanya kwa sasa niku chochea tu hiyo migogoro.Nani kawatengeneza Sasa?