chimbuvu 30 hours zisha expire!

CC pub and restaurant

Utasema mengi,
Utakuja shindwa,
Huyo uliyempata,
Atakuja akutoroke
Anirudie we
Nilimzoesha
Maisha ya fahari
Wewe hutamweza
Source: mbaraka mwinshehe mwaruka {RIP}
Copy: phina........tukutane pale pa juzi
 
Last edited by a moderator:
Utasema mengi,
Utakuja shindwa,
Huyo uliyempata,
Atakuja akutoroke
Anirudie we
Nilimzoesha
Maisha ya fahari
Wewe hutamweza
Source: mbaraka mwinshehe mwaruka {RIP}
Copy: phina........tukutane pale pa juzi

Busati la nini mimi
Tena katu silitaki
We jifanye jabari
Ilhali si fundi stadi

Ngebe kama kasuku
Wajiona umepata tunu
Huna lolote zumbukuku
Ipo siku utavikwa kikuku

Nakutakieni kheri
Chukueni na hadhari
Ingawa sipendi shari
Yaweza husu tindikali
 
Vipaji halisi
CC; manoah


 
Last edited by a moderator:
Maisha ni malengo,
noah mchomoko,
waswahili huliita kitimoto,
unataka kwenda kwenye mtoko,
andaa wako mkoko,
ili uende beach ya coco,
kama ukipata mchongo,
acha wako usokomoko



Jua ulianza ufizi ndo meno yakaja
Sitishiki na zako bwabwaja
Ukileta za kuleta
Nitakupa za kukupa
 
Bilionea nimebaini,
Kukosa tumaini,
Nyani Ngabu hisiani,
Woga mwingi kifuani,
Hakika uko ndani,
Hana tena imani,
Mkewe kumrudisha ndani.

Rav4 kununua,
Kashindwa kuamua,
Mke kaamua,
Mme huyu ni juha,
Bishanga nitamwinua
Anioe nimeamua.
Pole nyani ngabu pole,
Mke kuhama kwa mtogole,
Masaki kaja alole
Kisha kapaona dole
Kwangu kawa mpole
Tunduni kaona alale.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Maisha ni malengo,
noah mchomoko,
waswahili huliita kitimoto,
unataka kwenda kwenye mtoko,
andaa wako mkoko,
ili uende beach ya coco,
kama ukipata mchongo,
acha wako usokomoko

Bichi koko ya mbwa koko
Sijaanza okota makopo
Juzi, jana, wala leo

Sitaki mwenye mapepe
Wala mwenye marere
Hata mwenye kiherehere

Mzuka wanipanda
Taire taire najisemea
Mashua ya mtu mmoja
Iweje wapande mia?
 
Hodihodi CC,
Chimbuvu naingia,
salamu tele pokea,
nyumba ndogo zinatoka,





 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…