Chain iko wazi sana ameyapokea toka kwa Malaika muheshimiwa Jibril (Amani ua Allah iwe juu yake) kisha akayapokea Mtume kisha akawaambia waja wa Allah.Nina swali hili nijibu
Haya maneno Muhammad aliyatowa wapi , embu nipe chain na nani anayaongea
Koran 5:110 Na pale Mwenyezi Mungu atapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Kumbuka neema yangu juu yako, na juu ya mama yako, nilipo kutia nguvu kwa Roho Takatifu, ukazungumza na watu katika utoto na utuuzimani....
Hili jambo limeshajadiliwa zaidi ya mara moja humu na kwa mifano lukuki,huo ni ufasaha wa lugha na ukisoma Tafsiri za Qur'aan zimeeleza jambo hilo,rejea katik Tafsiri hizo.Issue kijana inayokuja ni kwamba kilicho andikwa, unaweza kuaminini kilicho andikwa ni kweli kinakuwa kimeandikwa kweli na unayemuabudu ndio katamka, je alicho kitamka ni kweli?
Mfano Allah kasema Jua linazama kwenye matope , je kialisia leo hii unaamini Jua linazama kwenye chem chem matopeni
18:86
Till, when he reached the setting-place of the sun, he found IT SETTING IN a muddy spring…
hypocrisy ndio imekujaa, Yani unataka uamini Allah kaongea na Muhammad ,ila wengine walisema holy spirit kaongea unaona haifai, ONDOA hypocrisy tu dabate kiutu uzima na uache utotoChain iko wazi sana ameyapokea toka kwa Malaika muheshimiwa Jibril (Amani ua Allah iwe juu yake) kisha akayapokea Mtume kisha akawaambia waja wa Allah.
Ndio nimekwambia tujadili uhalisia wa kilichopo , kama Allah alisema Jua linazama matopeni na leo hii sayansi inampinga ndio tuanzie hapo kuona je Kuna ukweli kwa yaliyo andikwaHili jambo limeshajadiliwa zaidi ya mara moja humu na kwa mifano lukuki,huo ni ufasaha wa lugha na ukisoma Tafsiri za Qur'aan zimeeleza jambo hilo,rejea katik Tafsiri hizo.
Soma nilichokiandika kisha ukielewe Mtume Muhammad hajaongea na Allah na wala sijaandika hilo,aliye ongea na Allah ni nabii Musa pekee na hili tunaliona kwenye Qur'aan,umetaka chain lakini hata chain yenyewe huijui ni nini,hili ndiyo tatizo la kujadili mada na mjinga asiye jua.hypocrisy ndio imekujaa, Yani unataka uamini Allah kaongea na Muhammad ,ila wengine walisema holy spirit kaongea unaona haifai, ONDOA hypocrisy tu dabate kiutu uzima na uache utoto
@Mubarridi uyo jamaa ukimuuliza swali hawezi kujibu mna hana hoja m ndo mna nikampotezea tuu mna nishamuona ni mjingaaa tena na upumbavu umemjaaSoma nilichokiandika kisha ukielewe Mtume Muhammad hajaongea na Allah na wala sijaandika hilo,aliye ongea na Allah ni nabii Musa pekee na hili tunaliona kwenye Qur'aan,umetaka chain lakini hata chain yenyewe huijui ni nini,hili ndiyo tatizo la kujadili mada na mjinga asiye jua.
Huyu namjua vizuri na mimi huwa siingii hoja nyingine mpaka ajibu swali nililo muuliza utaona tu mwisho atakimbia.@Mubarridi uyo jamaa ukimuuliza swali hawezi kujibu mna hana hoja m ndo mna nikampotezea tuu mna nishamuona ni mjingaaa tena na upumbavu umemjaa
usikute ni jitu zima kbsa ilo lkn ni jinga la kutupwa
hypocrisy acha kwanza hii , alafu ndio ujadili kama mtu mzima , usijifiche Kwenye chain , chain ni maaimulizi kutoka chanzo kimoja kwenda kingine ambapo inaweza pia uongo mtu anaweza sema falni kaniambia ni kumbe anadanganyaSoma nilichokiandika kisha ukielewe Mtume Muhammad hajaongea na Allah na wala sijaandika hilo,aliye ongea na Allah ni nabii Musa pekee na hili tunaliona kwenye Qur'aan,umetaka chain lakini hata chain yenyewe huijui ni nini,hili ndiyo tatizo la kujadili mada na mjinga asiye jua.
Wewe umeniogopa , unataka watu wasio Jua kitu uwasanganye , Kam kule ulidanganya ukifa tu muislamu unaenda kwenye hukumu, kumbe Kuna adhabu ya kaburi kwanza kabla ya hukumu, someni dini yenu ndio maana mnaona mkiwekewa maandiko yenu humu mnayapinga@Mubarridi uyo jamaa ukimuuliza swali hawezi kujibu mna hana hoja m ndo mna nikampotezea tuu mna nishamuona ni mjingaaa tena na upumbavu umemjaa
usikute ni jitu zima kbsa ilo lkn ni jinga la kutupwa
Safi kabisa kwetu sisi Chain ndiyo Dini kijana yaani bila chain hakuna jambo ndiyo maana tumejikita katika elimu ya uhakiki wa habari kuzichambua chain na kuzipembua.hypocrisy acha kwanza hii , alafu ndio ujadili kama mtu mzima , usijifiche Kwenye chain , chain ni maaimulizi kutoka chanzo kimoja kwenda kingine ambapo inaweza pia uongo mtu anaweza sema falni kaniambia ni kumbe anadanganya
Wewe nakukalishaga na unakimbia, fuatilia mada zangu na weweHuyu namjua vizuri na mimi huwa siingii hoja nyingine mpaka ajibu swali nililo muuliza utaona tu mwisho atakimbia.
Hawa jamaa si wasomaji na wote wana fanana huwa wanaingia mitandaoni wanakariri hoja za wapinzani kisha wanazileta huku wanakuja kutupotezea muda unakuta wanaruka ruka tu,hawana hoja.
Ao ndo wale wa kukaririshwa aya moja kma anavofanya hlf wanalishwa chuki ushaona Uislamu unavosema yni wao kuamka na kulala kwao wanalishwa chuki tuu na Uislamu. wakati Waislamu Imani yao inawatosha wala hawababaiki kma wao.Huyu namjua vizuri na mimi huwa siingii hoja nyingine mpaka ajibu swali nililo muuliza utaona tu mwisho atakimbia.
Hawa jamaa si wasomaji na wote wana fanana huwa wanaingia mitandaoni wanakariri hoja za wapinzani kisha wanazileta huku wanakuja kutupotezea muda unakuta wanaruka ruka tu,hawana hoja.
Hahaha,nimecheka sana hili hakijawahi tokea.Wewe nakukalishaga na unakimbia, fuatilia mada zangu na wewe
Nimeshamaliza Koran mlio nayo leo ni masimulizi wala hakuna original matini ya uthuman wala Muhammad, tuendeleeSafi kabisa kwetu sisi Chain ndiyo Dini kijana yaani bila chain hakuna jambo ndiyo maana tumejikita katika elimu ya uhakiki wa habari kuzichambua chain na kuzipembua.
Kwahiyo hatuwezi kutoka kwenye msingi,umesema uongo na unatikiwa ukiri hilo kisha tuendelee.
mm sikujibu tena wwWewe umeniogopa , unataka watu wasio Jua kitu uwasanganye , Kam kule ulidanganya ukifa tu muislamu unaenda kwenye hukumu, kumbe Kuna adhabu ya kaburi kwanza kabla ya hukumu, someni dini yenu ndio maana mnaona mkiwekewa maandiko yenu humu mnayapinga
Kazi yangu ni kukunyoosha , ukiona unaanza kutoa lugha hizi Jua sindano imeingiamm sikujibu tena ww
hlf nikuogope una nn ww KAFIRI mmoja ivi
We KAFIRI wahi kwenye misa kule saivi ukaliwe pesa zako[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aaaah KAFIRIIIII
Ok tumesha maliza Koran hakuna original matiniHahaha,nimecheka sana hili hakijawahi tokea.
Hoja na maswali yangu ndiyo huwa yanakukimbiza,tuendelee.
mm sikujibu tena ww
hlf nikuogope una nn ww KAFIRI mmoja ivi
We KAFIRI wahi kwenye misa kule saivi ukaliwe pesa zako[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aaaah KAFIRIIIII
Hahaha,kijana jenga hoja na ukosoe hoja kielimu kuandika tu bila hoja ni ujinga ukio pea.Nimeshamaliza Koran mlio nayo leo ni masimulizi wala hakuna original matini ya uthuman wala Muhammad, tuendelee