jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 218
Tafuta za masharobaro, mabishoo na mablazamen walishapitwa na wakati.nataka kufungua duka la nguo za kiume zile za dukani za kinyamwezi za mabishoo na mabrazameni.naombeni chimbo ambalo naweza kuagiza mzigo kwa bei nafuu na ikiwezekana mchanganuo wa biashara hii.mimi nipo dodoma.asanteni wakuu
nakuona wajinawacha nisubuskraibu kwa ajili ya mainfo
pamoja mkuu sharoTafuta za masharobaro, mabishoo na mablazamen walishapitwa na wakati.
ha ha ha ha pamoja mzaznakuona wajina
wanao mr bana wanahongwa na mademu zao na wanapewa na wazaz waoMabishoo hawana hela
usiende kariakoo mko wapiNjoo usiende kariakoo ni chimbo no 1 kwa sasa hapa mjini unaweza cheki page yetu uone bei
Hahah" tunawaita marioowanao mr bana wanahongwa na mademu zao na wanapewa na wazaz wao
mpo insta niwachekNjoo usiende kariakoo ni chimbo no 1 kwa sasa hapa mjini unaweza cheki page yetu uone bei