All of them are killers! Killing their own people how come they conderm atrocities commited by their "mates"!the African head of states a
Mi nashauri warudi kwao kwasababu wengi wao ni wahamiaji haramu . Wafuate legal process waishi kihalali. Wengine wanaenda kujiingiza kwenye makundi ya kihalifu. Acha kuwasingizia south Africa.Warning:
The videos in this thread are extremely graphic for vviewers.
Black South Africans are killing black africans from Africa in streets and the African head of states are silent to condemn and take action against this barbaric altitude. They are obviously waiting for the Western world to say something about it. Simply stunning.
Kama magu tu.magu anakoelekea anatugawa watanzaniaNa kumbe Ramaphosa mwenyewe ni mchochezi wa vurugu!
Kwa hiyo ndio wana haki ya kuuwawa? Kama wahamiaji haramu si wawashike na kuwarudisha kwenye Nchi zao?Mi nashauri warudi kwao kwasababu wengi wao ni wahamiaji haramu . Wafuate legal process waishi kihalali. Wengine wanaenda kujiingiza kwenye makundi ya kihalifu. Acha kuwasingizia south Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa illlegal immigrant ni kibali cha kumkata mikono na kumchinja binadamu mwenzio?? does that portray sound mind or unsound mind ? Marekani ina illegal allien zaid ya mil 11 (wanatosha kuwa nchi) lakini hatua gani zilifanyika? kama swala la ajira utamuajiri vipi mtu ambaye hana vibali? na kama biashara mamlaka zinazosimamia maswala ya biashara si zipo? they are typical cruel and potray the image of their FATHER who is vividly seen there ... THE DEVIL ... they don't need to feel shame, no need for AU or SADC to say anything as when you see they are quite it's because they agree with what is being doneMi nashauri warudi kwao kwasababu wengi wao ni wahamiaji haramu . Wafuate legal process waishi kihalali. Wengine wanaenda kujiingiza kwenye makundi ya kihalifu. Acha kuwasingizia south Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia kwamba wageni wenye vibali halali vya kuishi nchini SA wako salama?? Do you really know source of the problem kabla huja comment na ushauri wako wa hovyo!!Mi nashauri warudi kwao kwasababu wengi wao ni wahamiaji haramu . Wafuate legal process waishi kihalali. Wengine wanaenda kujiingiza kwenye makundi ya kihalifu. Acha kuwasingizia south Africa.
Sent using Jamii Forums mobile app